Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Katika race zote duniani nafikiri watu weusi ndiyo wanaongoza kuvaa kwa fasheni na kujipamba. Mambo ya mikufu mikubwa na ghali, pete nyingi, bangili na hereni ni kawaida kwao, hiki si kwa manaume...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Poleni na swaumu, kuna wale wenye nywele za brown hivo ujikuta wakipaka super black...sasa kuliko kupaka super black kwenye nywele kwa lengo la kufanya nywele ziwe nyeusi Ni heri uwe unaziosha...
2 Reactions
5 Replies
4K Views
Naomba mnisaidie hapa wapo ambao hupenda mwanaume anukie kiasi kwamba akiwa mbali unaeeza msikia ma akipita lazima ikae kwa muda mrefu ile harufu na wapo wanaoenda mwanaume anukiee kidogo yaani...
6 Reactions
641 Replies
155K Views
Wakuu salamu, nimendika sentensi hiyo hapo juu ambayo ni ushauri ulitolewa kwa mtu anayetaka kupunguza uzito, nimepitia thread moja humu mdau akieleza jinsi vyakula vya wali na ugali...
5 Reactions
62 Replies
11K Views
(KAMA UMEOLEWA/UMEOA TAFADHALI USISOME) Kuna story za kutisha nyingi sana kutoka kwa wanaume, kuhusu kuamka asubuhi na kujikuta wakiwa wamelala kitandani pembeni ya viumbe wasio watambua baada ya...
24 Reactions
372 Replies
45K Views
Wakuu hata kama ndio fashuuun au sijui kwenda na wakati hii imepitiliza, unasuka MAPEMBE kweli bro! Au ndio externalization ya yale mambo yenu ya freemasonry? Anyways kila mtu na maisha yake...
1 Reactions
25 Replies
5K Views
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, Mabinti ninaowazunhumzia hapa sio wale wacheza vigodoro na wavaa madera wasiojielewa, ni mabinti wale wanaojistiri swala tano. Hawa mabinti moja ya...
11 Reactions
72 Replies
13K Views
Kichwa cha habari hapo juu chahusika Baada ya kupata kazi na kuwa na uhakika wa kipato sasa nataka nishughulike na kutafuta mwili maana sifurahii huu wembamba japo sina maradhi yoyote yanayoweza...
2 Reactions
57 Replies
28K Views
Huu ni uzi maalum wa kupeana ideas, uzoefu na elimu ya kupamba nyumba, namna ya kusafisha ndani na nje ya nyumba, pamoja na mpangilio wa vitu katika nyumba zetu.
7 Reactions
7 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavojieleza, napata tabu ya kun’garisha boot lang maana mwanzoni nilikua nafosi natumia kiwi ila sasa nikawa naona kama rangi yake inafifia. Then nikaona niwe navifuta tu...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri wakuu, Nisipoteze muda kuna hili swala limetokea pahali kidogo limenishangaza bada ya mzee mmoja kuchachama kwa ukali juu ya tabia ambayo binafsi sijaona kama ni...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kuna vitu vidogo vidogo ambavyo wanaume tunakosea katika uvaaji wa nguo. Kama unavaa mashati na unachomekea kwenye suruali basi hakikisha rangi ya mkanda wako inaendana na viatu unavyovaa. Vitu...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Natamani mama angeanza kutupia mavazi yanayoenda na fasheni ya marais. Yaani vazi flani hivi traaamu sana kiasi kwamba mtu akimuona tu anajua kweli huyu MAMA WA TAIFA. Kama leo yupo UGANDA na...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Kwa wale wataalam wa kuchanganya hayo manukato na kupata harufu ambayo ni nzuri haikeri na inakaa muda mrefu, embu tupeni formula mchanganyiko upi ni best kwa maoni yako?
3 Reactions
32 Replies
7K Views
Vipi mdau wa JF, Mwezi huu unajipuliza unyunyu gani?
0 Reactions
1 Replies
861 Views
Wakuu Inasemekana kupiga push up 200 kwa Siku ni hatari kwa afya kwani husababisha uti wa mgongo kupinda na kusababisha tatizo linaliotwa kitaalamu 'Kyphosis' na husababisha maumivu ya mgongo na...
6 Reactions
134 Replies
15K Views
Nahitaji kununua set nzima nisije kula hasara naomba kwa aliyewahi tumia anipe mrejesho
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Image credit: Walter photography Did you know, Jessica Nabongo is the first Ugandan woman to travel all the countries in the world? Which brings us to the article influenced by the blogger and...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani mimi nahitaji kujua ipi brand nzuri ambayo inajitahidi kwa kuwa na fulana quality kati ya hizi MANGA na HOTBASE. Mwenye uzoefu nazo anifahamishe zipi zina nafuu au zenye quality nzuri au...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Kwa wale wapenda perfume wenzangu naomba mnisaide kati ya hizi perfume ipi ina halufu nzuri zaidi. Blue de Chanel vs Yves Saint Laurent Y Nina mpango wa kununua perfume na nimeona wengi...
1 Reactions
37 Replies
8K Views
Back
Top Bottom