Haya banaNi mazuri sana hasa kwa kupaka matakoni.
Madoa ya chunusi kutoka...na general kuwa vizuriUnategemea nini baada ya kutumia
Madoa ya chunusi kutoka...na general kuwa vizuri
Si useme wazi mwanangu kuwa unatangaza biashara badala ya kutuzuga.Nahitaji kununua set nzima nisije kula hasara naomba kwa aliyewahi tumia anipe mrejesho
View attachment 1742418
Siuzi mafuta hahhaaha nina changamoto ya ngozi ndugu...nikikurupuka tu na mafuta huwa yanazidisha tatizo.Si useme wazi mwanangu kuwa unatangaza biashara badala ya kutuzuga.
Nimejaribu kugoogle info zake ni general sana,nikasema nikipata mtu aliyetumia humu itakua poaHuenda yakawa sawa. Jaribu mama
Pole sana. Ushajaribu ya nazi?Siuzi mafuta hahhaaha nina changamoto ya ngozi ndugu...nikikurupuka tu na mafuta huwa yanazidisha tatizo.
Nahitaji kununua set nzima nisije kula hasara naomba kwa aliyewahi tumia anipe mrejesho
View attachment 1742418
Kama sio cha faragha nishauri hapa hapaNjoo Pm nikushauri kitu kama hautajali
Naomba unishaur na mm plzNjoo Pm nikushauri kitu kama hautajali
Njoo Pm nikushauri kitu kama hautajali
Hilo ndo swali langu kubwa..Ivi jaman ni lotion gani nzuri inayoweza kutoa makovu na kukupa one tone mwili mzima?
Hazieleweki nadhani nyingi sio original ....ukipata za dubai wanadai ndo ogKuna mtu kaniambia ninunue yanatakatisha..
mimi pia natamani nitokee rangi moja mwili mzima, njwe smooth
Sema sasa lotion sikuhizi hazieleweki