Kwanini watu weusi wanapenda sana kuvaa kwa fasheni na kujipamba?

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,658
20,886
Katika race zote duniani nafikiri watu weusi ndiyo wanaongoza kuvaa kwa fasheni na kujipamba. Mambo ya mikufu mikubwa na ghali, pete nyingi, bangili na hereni ni kawaida kwao, hiki si kwa manaume au kwa mwanamke.

Mtu mweusi popote duniani anahusudu sana mavazi na anatumia gharama kubwa sana. Atakuwa na raba kali, jinsi kali zenye fasheni, cheni, kofia na mambo mengine ya kujipamba. Ukiangalia watu wengine kama Wazungu, Wahindi, Waarabu na orientals hukuti mambo hayo, hawa huvaa kawaida sana. Ndiyo maana utasikia "wazungu wako simple sana"

Hili suala la kujipamba sana na kutumia asikimia kubwa ya pesa kwa nguo na mapambo kwanini ipo sana kwa watu weusi?
 
Hatuna cha kutufariji hivyo tunatumia mwonekano kama faraja. Sijapaki hata pikipiki ugenini so nitumie tu hata jins nionekane kama nami nipo.
 
Kutojiamini tu, angalia mfano mwanamke wa kiafrika anavaa wig, ili ajifananishe na mzungu muhindi au mwarabu, hii yote ni kutojiamini kuwa hata yeye ni mzuri kama hao wengine.
 
Ukisema mtu mweusi unamaanisha , wenye rangi nyeusi au waafrica??

For me napenda kupendeza.
 
Kwa Hilo sidhani...

Wahindi wanaongoza kwa makeup...Na wengineo...

Mzungu tu ndie afadhali..

Tembea uone!

Na kumbuka hii si asili yetu ..tumeiga tu..kwa hiyo sisi kivazi Na urembo wetu u najulikana!

Waliambiwa ndio ustaarabu huo!

Vibwaya ushenzi.
..
 
Katika race zote duniani nafikiri watu weusi ndiyo wanaongoza kuvaa kwa fasheni na kujipamba. Mambo ya mikufu mikubwa na ghali, pete nyingi, bangili na hereni ni kawaida kwao, hiki si kwa manaume au kwa mwanamke.

Mtu mweusi popote duniani anahusudu sana mavazi na anatumia gharama kubwa sana. Atakuwa na raba kali, jinsi kali zenye fasheni, cheni, kofia na mambo mengine ya kujipamba. Ukiangalia watu wengine kama Wazungu, Wahindi, Waarabu na orientals hukuti mambo hayo, hawa huvaa kawaida sana. Ndiyo maana utasikia "wazungu wako simple sana"

Hili suala la kujipamba sana na kutumia asikimia kubwa ya pesa kwa nguo na mapambo kwanini ipo sana kwa watu weusi?
hizo swagger tu.black americans ndo wanakimbiza
 
Kujipamba ni asili ya mwafrika angalia hata makabila yanayotunza asili zao wanajipamba sana shingoni,masikio,kichwani,mikono na miguu. Hawa wa kisasa wanaboresha tu mapambo kuwa silver,gold,diamond,pearl, n.k
 
Wanaoongoza ni Wahindi na watu wa Asia, labda hujawakuta huko kwao mitaani then wanafuata Watu weusi

Ni suala la kitamaduni tu, hata Wamasai wanapenda kuvaa mambo mengi kama shanga, mikufu, bangili, pete n.k mpaka miguuni wanavaa

Ni traditional preferences tu
 
Wafilipino pia ni watu wa brands sana kwa wanaowajua haoni kazi kununua kiatu cha james harden/air jordan kinachouzwa zaidi ya 300k
au kofia ya 100k
 
Katika race zote duniani nafikiri watu weusi ndiyo wanaongoza kuvaa kwa fasheni na kujipamba. Mambo ya mikufu mikubwa na ghali, pete nyingi, bangili na hereni ni kawaida kwao, hiki si kwa manaume au kwa mwanamke.

Mtu mweusi popote duniani anahusudu sana mavazi na anatumia gharama kubwa sana. Atakuwa na raba kali, jinsi kali zenye fasheni, cheni, kofia na mambo mengine ya kujipamba. Ukiangalia watu wengine kama Wazungu, Wahindi, Waarabu na orientals hukuti mambo hayo, hawa huvaa kawaida sana. Ndiyo maana utasikia "wazungu wako simple sana"

Hili suala la kujipamba sana na kutumia asikimia kubwa ya pesa kwa nguo na mapambo kwanini ipo sana kwa watu weusi?

Kuvaa vizuri na kuoendeza ni asili yetu, wazungu hii kwao hawana, na sio kwamba hawapendi, wanapnda ila muonekano unawatupa sana.watu watu weusi tunapendeza sana kuliko wazungu, ndomana unaona fashionist wengi ni weusi kuliko wazungu. Ukiwa unapendeza mzingu atakusifikia kwa hili hawajapo hawanaga unafki.
 
Kujipamba ni asili ya mwafrika angalia hata makabila yanayotunza asili zao wanajipamba sana shingoni,masikio,kichwani,mikono na miguu. Hawa wa kisasa wanaboresha tu mapambo kuwa silver,gold,diamond,pearl, n.k
Sure thing.
 
Wafilipino pia ni watu wa brands sana kwa wanaowajua haoni kazi kununua kiatu cha james harden/air jordan kinachouzwa zaidi ya 300k
au kofia ya 100k

Watu wa kule waspanish nao hawajambo kwa mambo hayo mkuu, wako vizur.

Wazungu tu ndo wamepoa
 
2757166_IMG_20201011_070547_2.jpg
 
Back
Top Bottom