Mavazi ya Mama yetu Rais Samia

careenjibebe

JF-Expert Member
May 28, 2020
900
1,000
Natamani mama angeanza kutupia mavazi yanayoenda na fasheni ya marais. Yaani vazi flani hivi traaamu sana kiasi kwamba mtu akimuona tu anajua kweli huyu MAMA WA TAIFA.

Kama leo yupo UGANDA na vile amevaa barakoa nilitaman amechishe zake na gloves kwasabu hata hivo UG kuna kiubaridi, angepiga suti moja matata sana kutembea angetembea kwa madaha kidogo kukaa pia angekaa kitaalam yaaan ashtue watu kwelikweli.

Sasa dah! Mama hata mtandio tu naona hajaufunga ile kisawasawa. Au sijui apungue kidogo?

NB NAJUA KUNA TISS HUMU JAMAN MSIJENIKAMATA MIE NIMETOA USHAURI WANGU TU KAMA MWANAMKE NAYEENDA NA FASHEN!
 

darcity

JF-Expert Member
Jul 20, 2009
5,725
2,000
Mmeshaanza, mnataka kumremba Mama yetu Madame President ili iweje? Wakati First gentleman mwenyewe ndio fasheni anayopenda!

Anyway.....Kuna kaukweli, hata hayati aliacha kuvaa koti na suti za draft zinazofika magotini na akawa fashionable.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom