sinajinasasa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 2,989
- 4,129
Naomba kufahamu viwango vya bei ya suti kwa huyu jamaa Sheria Ngowi, ni bei gani?
Km bei unazijua we tutajie mkuu tutajipinda tuUnabidi ujipange mkuu. Sio cha mtoto. Mimi nilimbahatisha enzi zile akiwa bado India. Alikuwa cheap sana. Sasa anatengenezea suti marais akina Kikwete na Lungu unategemea nini?
Ndo umwambie sasa kwa bei gani.Unabidi ujipange mkuu. Sio cha mtoto. Mimi nilimbahatisha enzi zile akiwa bado India. Alikuwa cheap sana. Sasa anatengenezea suti marais akina Kikwete na Lungu unategemea nini?
Bei je?Nenda specials wapo africasana karibu na shule ya kenton nao wako vizuri sana ktk hizo suit
Bei we nenda pale utachagua na bei utatajiwa ukiridhika nayo ndio wanachukua vipimo vyako..usiuziwe mbuzi kwenye gunia bobBei je?
Naitaka kama hyo ya b12 kwa ajiri ya harusi yangu mwakani, bei gan mkuuView attachment 404147 Mtani Bespoke moja ya kazi Zake
Mcheki mtani bespoke InstagramNaitaka kama hyo ya b12 kwa ajiri ya harusi yangu mwakani, bei gan mkuu
Aiseee,watu mnafeli kwa swali dogo tu,jamaa ameuliza bei gani???nami nasubiri jibu nijue bei ya hizo suti,ila nachosoma hapa kwa watu wa kaliba yako ni kujibu swali usiloulizwa
Bei gani mdau tutafikatu inachotakiwa itajwe bei,mambo ya India sijui marais yanatoka wapi,weka bei unayoijua hapa ndo jibu linalosubiriwaUnabidi ujipange mkuu. Sio cha mtoto. Mimi nilimbahatisha enzi zile akiwa bado India. Alikuwa cheap sana. Sasa anatengenezea suti marais akina Kikwete na Lungu unategemea nini?
Poa bossNaitaka kama hyo ya b12 kwa ajiri ya harusi yangu mwakani, bei gan mkuu
Laki 5 ankushonea unavotaka Wewe na kukushaurPoa boss
1,000,000Ndo umwambie sasa kwa bei gani.