Kati ya mabinti kumi unaokutana nao, nane kati yao wamevaa miwani

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Mabinti wanajua kwenda na kipindi sana, huwa wakishakariri kitu mpaka wanaboa yaani, hata kama cha ajabu.

Kuna mtindo siku hizi wa kuvaa miwani. Tuache wale wanaovaa kutokana na matatizo ya macho.

Kuna wengine wanavaa kama urembo lakini it's too much. Utakuta miwani mikubwa imeziba uso mzima. Hudiriki kujipigilia ya tinted siku hizi au ya rangi fulani ya kuwaka waka hivi.

Ukienda kulala nae mpaka unajistukia, maana hawavui.
 
Na sikuhz miwan za macho pia zipo kubwa zaid za fashion na ikiwa kweny jua ndo unaweza kusema ya urembo
 
Wewe sema mademu zako ni washamba, hivi inakuaje mwanamke agegedwe na litinted uson? hata wale vipofu hua wanavua wakiwa mchezoni. Ni kweli hiyo ni fashion but kwa swala la kulala nayo hiyo ni ya demu wako/zako pekee, au labda una sura ya kuogofya yaani huangaliki bila miwani.
 
Mabinti wanajua kwenda na kipindi sana, huwa wakishakariri kitu mpaka wanaboa yaani, hata kama cha ajabu.

Kuna mtindo siku hizi wa kuvaa miwani. Tuache wale wanaovaa kutokana na matatizo ya macho.

Kuna wengine wanavaa kama urembo lakini it's too much. Utakuta miwani mikubwa imeziba uso mzima. Hudiriki kujipigilia ya tinted siku hizi au ya rangi fulani ya kuwaka waka hivi.

Ukienda kulala nae mpaka unajistukia, maana hawavui.
Kwani wamekuvalisha wewe?
 
Hapo bila shaka unawazungumzia wanawake wa Dar huku mikoan sahv wako kwenye mavuno..Fashion iliyopo huku n mahindi ya kuchoma
 
Kama huyu wa kwangu mpaka ananiboa. huwa anajisahau hata usiku akidrive gari huwa anazivaaga.
Black-Girl-Hairstyle-396x300.jpg
 
Mabinti wanajua kwenda na kipindi sana, huwa wakishakariri kitu mpaka wanaboa yaani, hata kama cha ajabu.

Kuna mtindo siku hizi wa kuvaa miwani. Tuache wale wanaovaa kutokana na matatizo ya macho.

Kuna wengine wanavaa kama urembo lakini it's too much. Utakuta miwani mikubwa imeziba uso mzima. Hudiriki kujipigilia ya tinted siku hizi au ya rangi fulani ya kuwaka waka hivi.

Ukienda kulala nae mpaka unajistukia, maana hawavui.
images
images
 
Kwa sample ya mleta uzi ya kati ya wanawake 10, wanawake 8 wamevaa miwani maana yake kila ukitembea ni mwendo wa miwani yaani kama miavuli kipindi cha manyunyu.....mie nimehesabu niliokutana nao wamefika 20 alievaa miwani ni mmoja

Ila huyo demu wake ni noma mpaka analala na miwani duuh...au ana special case kama mchezaji yule wa Uholanzi hapo chini alikuwa anavaa mpaka uwanjani akicheza mpira
EDIGAR.jpg
 
Wengi wao unakuta wana mimacho mibaya ile ya kuangalia upande upande kumbe anakuangalia wewe
 
Mbona kawaida unapojadili athari za kitu kinachokera fikiria namna ya kusolve ili kupata suluhu otherwise tunaprovoke.
 
Back
Top Bottom