Mwanadada, ukivaa gauni la chui chui lisikupendeze, hakuna nguo itakayokupendeza!

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
8,658
15,784
Kila mwana dada niliyewahi kumuona kavaa lile gauni la madoa ya chui chui alikuwa amependeza maana gauni lilimkaa fresh.
Nikawaza iwapo kuna binti ambaye gauni hili halijawahi kumpendeza, sidhani kama kuna nguo nyingine yeyote itakayo mpendeza....
tiger 2.jpg
tiger 1.jpg
 
Nadhani ni mentality tuliyojijengea katika ubongo. Chui hata kumtizama tu anavutia kwakweli. Ana sura ya upole na mabakamabaka yale.....ila mtiti wake sasa ndo balaa

-So guys please proceed with caution
 
Wala sababu ya kupendez cio chui chui bali nguo imeushik mwili wake ndo sabab kubwa nyingine hizo mbwembwe
 
Kila mwana dada niliyewahi kumuona kavaa lile gauni la madoa ya chui chui alikuwa amependeza maana gauni lilimkaa fresh.
Nikawaza iwapo kuna binti ambaye gauni hili halijawahi kumpendeza, sidhani kama kuna nguo nyingine yeyote itakayo mpendeza....
View attachment 511413 View attachment 511411
Alafu nyingi zinawabana kinoma...yaani ramani nzima ya africa unaiona ikichanganywa na zile mistari ya chuichui
 
Mwanamke anayejitambua hawezi vaa chui chui hizo ni nguo za malaya tu na hilo lipo wazi dunia nzima..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom