Principle girl
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 1,107
- 1,091
Asalaam
Wapendwa nifanyeje au nitumie nini kisicho na madhara ili nirefushe kope zangu?

jikubali...hiyo haina madharaAsalaam
Wapendwa nifanyeje au nitumie nini kisicho na madhara ili nirefushe kope zangu?
Mmh hii Vaseline nayo kiboko, inarefusha kope, inang'arisha mwili inasimamisha manyonyo....Pakaa vaseline ya mgando