Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Ukitoa mwenge vinyago wenye bei za kizungu sehemu gani nyingine nitakuta mavazi yenye arts ila bei nzuri
0 Reactions
4 Replies
507 Views
Wale wapenda kunukia vizuri. Naomba experience yenu Club de Nuit intense Man VS Club de Nuit Blue Iconic. Hipi ni nzuri zaidi?
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Amani iwe pamoja nasi sote! Tukiachilia matatizo yanayoendelea; cambodia, pakistan, gaza, yemen, drc, ukraine, sahel, gen z, brics, iran, Lisu, Pole Pole, gwajima, mchujo CCM na bilion ya Taifa...
13 Reactions
34 Replies
2K Views
Hivi wenzetu tunaokutana misibani mkiwa mmevaa sunglasses siku za maziko mnaweza kutuambia sababu ya kuvaa ni nini? Wengi ukiwauliza hawana sababu yoyote yenye mashiko ni kuiga iga tu mna ushamba...
19 Reactions
121 Replies
4K Views
Kuna pamba unaziona mtu kavaa town unajiuliza hivi wanazitoa wapi? Mfano mimi natafuta full jeans nyeusi nimeulizia nimeshindwa ukiingia ebay manguo mabayaaaa, huwa naopti mtumba grade 1 nawapa...
1 Reactions
45 Replies
13K Views
Wakuu. Tupeane dress code za beach leo. Kwa wanaume na wanawake. Na wapi unaweza pata izo dress. Kuna wakina sisi kila sehemu tunavaa jezi ya Arsenal, angalau tuweze shine mara moja moja...
5 Reactions
43 Replies
1K Views
Leo ni jumamosi Kabla hujaenda kunywa beer za watu hakikisha umeoga vizuri umetakata, tena tumia muda kujisugua vizuri, mtoto wa kike unaoga dakika 3 na unajisifia kweli kweli Na usiogee jamaa...
20 Reactions
43 Replies
2K Views
Save the date – 7 October 2025. Naachia rasmi kazi zangu za mitindo! Stay ready and be blessed, dear 🇹🇿🙏🇹🇿🇹🇿🙏🙏
6 Reactions
46 Replies
3K Views
Mtu unapata wapi ujasiri wa kuvaa haya maviatu? Yaani unamkuta mtu amevaa halafu yuko comfortable kabisa 😳😳
32 Reactions
87 Replies
5K Views
Habari zenu humu ndani. Nahitaji ushauri wa perfume nzuri ambayo haizidi bajeti ya elf 70
2 Reactions
10 Replies
831 Views
Nini madhumini na matumizi ya vitu vifuatavyo wavaapo wakina dada na akina mama katika jamii yetu? 1: Kipini cha puani a.k.a (Kishaufu) iwe kushoto au kulia 2: Kikuku iwe mguu wa kushoto au kulia...
6 Reactions
4K Replies
1M Views
Huu ulimwengu Una mambo ...wengine tunanunua Raba tukiona Tu Kwa macho na kuvaa...kumbe Raba zina mashabiki kama mpira na zina wachambuzi pia. ..... Nikipata nafasi ntakuwa naweka hapa story na...
11 Reactions
76 Replies
5K Views
Kama kawaida leo ni wikiend. Katika kuendelea kupeana tips mbalimbali za usafi. Ni muhimu kuzingatia mbinu bora za ufuaji wa nguo zako za ndani. Mbinu za ufuaji wa nguo za ndani ni miongoni mwa...
2 Reactions
12 Replies
918 Views
Nilikua naambiwa nina baby’s face ila nilijua ni general tu, sasa nimegundua sababu kubwa ni macho. Macho yangu ni meupe ila yamekaa kma nimepaka wanja, wengine huniambia “ mi nimependa macho...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Wakuu, Naomba mnisaidie kama kuna yeyote anajua jinsi ya kusafisha hizi timberland boot,kama kuna dawa maalumu au sabuni,maana zinaanza kutofautiana rangi na vidoa doa ambavyo havifutiki.
0 Reactions
22 Replies
12K Views
7 Reactions
39 Replies
1K Views
Nahitaji hii dawa kwa kuondolea ndevu (Nair Hair Removal). Nimeitafuta kwenye maduka mengi sana ila nimeikosa. Mara ya mwisho niliipata supermarket moja ila kwa sasa nimerudi kuinunua sijaikuta...
3 Reactions
43 Replies
3K Views
Bwana Giorgio Armani alizaliwa mwaka 1934 nchini Italia. Alisoma shahada ya kwanza ya udaktari wa binadamu, baada ya hapo alijiunga na jeshi kabla hajagundua kipaji chake cha ubunifu wa mavazi...
6 Reactions
6 Replies
748 Views
Jamani hiyo miili ya plastic surgery inapendeza. Uongo dhambi Tuelekezane machimbo jamani. And do and dont kwenye hili swala.
7 Reactions
48 Replies
6K Views
Kama unajitafuta kijana hakikisha una kadeti rangi ya kijivu au silver, saa ya silver Kadeti ya kijivu rangi yake haipoi. Hizi kadeti za elfu 15-25 karibu zote ni za watu wa hali ya chini, hivyo...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Back
Top Bottom