Club de Nuit Armaf vs. Club de Nuit Blue Iconic

Club de Nuit Armaf vs. Club de Nuit Blue Iconic

Hakuna perfume kwa wakati huu inayoizidi club de nuit intense men. Labda brand tu ila kunukia vizuri utulivu na msisimko hakuna km CDNIM
 
Huwezi kulinganisha vitu vyenye utofauti..Cdni inanukia kama Creed. na Iconic inanukia kama Blue Channel..hivyo hapo inategemea wewe ni mpenzi wa ipi..ila zote ni mzuri..ukiweza kuwa nazo zote.
Wale wapenda kunukia vizuri.

Naomba experience yenu

Club de Nuit intense Man VS Club de Nuit Blue Iconic.

Hipi ni nzuri zaidi?
 
Hehehehe mwanaume unadiscuss perfume....unanukia ili iweje wakati ukifanya kazi unatoka jasho
 
Hakuna perfume kwa wakati huu inayoizidi club de nuit intense men. Labda brand tu ila kunukia vizuri utulivu na msisimko hakuna km CDNIM
Zipo nyingi sana ila inategemea ,mimi natumia perfume tofauti japo sio original ..Yaani siwezi kununua perfume mara mbili ...Ndani ya mwaka mmoja
 
Bei zake unakuta mtaji wa kaduka ka reja reja
 
Intense Man ni copy ya Creed, hii Creed za kupima tu ni umeme, hiyo OG itakuwa ni moto wa kuotea mbali.
 
Shida zote za nini,chukua Asad combo weka Strong with You hapo unanukia hadi pumbu kwa gharama ya 65K tu kwa zote mbili,ama Ramza latafa halafu combo na Liquid burn kwa gharama ya Laki 1 zote mbili hata ukijamba unanukia perfume
 
Back
Top Bottom