Yaani unakuta kijana anahanhgaika kuipandisha suruali au kaptula yake aliyoivaa chini ya makalio yake utadhani kweli anaipandisha kiunoni kumbe anajaribu tu kuwaonyesha wanaomtazama kwamba kaivaa...
Yaani pesa yangu nyingi nilikuwa nawekeza kwenye simu, mabando, misosi, n.k. ila mavazi niliyapa thamani ndogo sana, nguo nilikuwa narudia hio hio hata mara 2 kwa wiki, kawaida sana.
Kiatu...
Kuna watu hawajipendi kabisa, unakuta mtu unamheshimu vizuri tu lakini hajui kuzingatia usafi wake wa mwili.
Mtu mzima, unanukaje mdomo, kwapa, miguu, masikio, au pua?
Mfano: Mambo ya faragha...
Dada angu amechukua sura ya baba, mimi nimechukua sura ya mama, dada angu sio mbaya, hapana, ila tu hua inaonekana kama nimemzidi uzuri, watu wanasema mbona dada ako umemzidi uzuri.
Kuna muda...
Ubunifu wa mitindo ya mavazi miongoni mwa Wabunge kwenye vikao vya Bunge umechukua nafasi yake
Mitindo ya mavazi imeendelea kuchukua nafasi yake Bungeni, ambapo wabunge wamekuwa wakionesha...
Katika miaka ya 1990 hadi mwanzoni mwa 2000, kulikuwa na ladha ya kipekee sana katika maisha ya kila siku—hasa pale tunapozungumzia suala la kunyoa nywele. Enzi hizo hazikujali sana mitindo mingi...
Hapa na zungumzia usafi wa kuoga na kutumia mafuta.
Ukiangalia kwa jicho la tatu yani una toa uchafu ulicho kitumia na uchafu wako kisha unajipaka uchafu.
Mafuta tunayopaka unakuta yame...
Kuna watu wanadhani ukiwa mweupe ndio unakua mzuri na wengine wanakwambia “ weupe umekubeba”, ila kiuhalisia kuwa na muonekano mzuri ni combination ya vitu vingi.
Kwa mfano mimi mbali na kua...
Huyu Jamaa anaitwa Chibu. Chibu alikuwa tayari ameshinda tuzo nyingi sana za muziki, mpaka akawa mshindi wa tuzo za mwimbaji bora Afrika Mashariki. Sasa baada ya mafanikio hayo, akaamua kufanya...
Habari za jioni wanajamvi,
Naomba niende moja kwa moja kwenye maada.
Nina miaka 32, jinsia yang n Me, nimekumbana na changamoto ya kuota kipara mapema sana kuanzia kwenye komwe mpaka kisogoni...
🕔 5:00 – 6:00 AM – Amka mapema
Salat (kama unaswali)
Omba au tafakari
Tengeneza kitanda
Maji ya uvuguvugu, limao au mazoezi ya kuvuta pumzi
🕕 6:00 – 7:00 AM – Mazoezi ya mwili
Cardio / Pushups...
Nikimwona mwanamke ana kipini puani naona kama kamfugo fulani hivi
Wanawake punguzeni maurembo.
Mara vikuku, huku kope za paka, mara uso unapakwa madudu mpaka unashindwa kujua huyu ni maiti au mzima
Kama ilivyo kwenye kula, naamini kuoga ni jambo linalohitaji nafasi na utulivu na huu ndio utaratibu wangu...
Ninapoingia bathroom kuoga natumia dk si chini ya 20, kuna wakati naenda hadi dk30...
Mwanamke huangaliwa kama hips kifua n.k kifupi namba 8, je shape ya mwanaume inayovutia ni ipi? Yani ambayo unaweza sema perfect man.
N. B usifananishe uanaume na kua rough.
Kua na ngozi laini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.