Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Aliyekuwa Godfather wa mitindo nchini Italia, gwiji na nguli wa mitindo duniani bilionea Giorgio Armani aliyezaliwa katika mji wa Pianceza nchini Italia amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 91...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Nimekutana na hii video mpaka nimebaki kujiuliza je inakuwa urembo unafikia kiwango cha kukupa wakati mgumu namna hii? Aisee Mungu atusaidie sana!
0 Reactions
9 Replies
649 Views
Yanasaidia pia kuboresha ngozi, hamu ya kula, nguvu za mwili.. Mmeng'enyo wa chakula nknk
15 Reactions
252 Replies
6K Views
Habari wana jukwaa, ninahitaji kununua mashine ya kunyolea nywele. Ipi ni bora? Kampuni gani? Nawezaje kutofautisha mchina na OG...nimeona baadhi KEMEI 2299, 2293... kiufupi niko hapa kuelimishwa...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Nilitumia deodorant flani kwa Muda kumbe inasababisha kwapa kuwa jeusi. Sasa nimejaribu kutumia limau kwa Muda mrefu Lakini wapi. Limau linakata tu harufu y’a jasho ila haliondoi ule weusi...
3 Reactions
45 Replies
2K Views
Wadau nisaidieni hili Hivi kuvaa raba na haka kalebo ka plastic ni ushamba au ndo fashion yake Wataalam wa fashion tupeni uzoefu wenu
5 Reactions
32 Replies
2K Views
1. Nyekundu - Haifai kuvaliwa kwenye ibada, mazishi au mikusanyiko ya huzuni au mikutano ya kazi. 2. Bluu - Haifai kuvaliwa kwenye harusi au sherehe kubwa ya familia. 3. Kijani -...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Kama kawaida wikiend ya leo niko apa ndo najiandaa na mtoko. Wakati natafuta nguo zangu zakutokea navyo viwanja nimepigwa na mshangao kuona nina jeans mbili na t-shirt zisizozidi tano huku boksa...
7 Reactions
70 Replies
2K Views
Hii perfume ni bei Gani? Nahitaji kwa wauzaji comment hapo chini nikufate pm Inaitwa LORD
2 Reactions
1 Replies
480 Views
Je Watu Weusi Tunahitaji Sunscreen??? Discuss🤣🤣🤣
1 Reactions
4 Replies
659 Views
Kuna watu hawawezi kwenda kuoga bila jiwe au brashi la kusugulia mguuu halafu bahati mbaya ni kwamba Brashi analotumia sugulia miguu ni Brashi gumu na wengine hawajaishia kwenye Brashi ila wameona...
6 Reactions
3 Replies
7K Views
Unakuta mwanaume pua imejaa mafuta hadi inatoa vinywele vyeupe, kwenye kucha nako ni chafu, tena kam anafanya kazi gerage ndio kabisa. Wengine nyuma ya mikono kumekakamaa sana, hata mafuta...
16 Reactions
67 Replies
3K Views
Unakuta mwanaume anavaa zake hivi na sendo na vest anaingia zake town alafu hana habari Kama wewe ni mshkaj wangu bora urafiki uishe maana unakuwa ni utoto na uvulana , mwanaume kamili hawezi...
28 Reactions
147 Replies
6K Views
Heri ya sikukuu ya sabasaba. Kwa masikitiko makubwa naomba niwakilishe malalamiko yangu kuhusu ndugu zangu na wananchi wenzangu. Wengi wenu hamuogi, hamfui nguo zenu na hampaki deodorant achilia...
17 Reactions
161 Replies
12K Views
GT Labda mimi ni Mshamba kiukweli hakuna kitu sipendi kama marashi yenye harufu kali tena unakutana kidume kabisa kapiga da nomaa sana. Yaani unaanza kusikia harufu akiwa umbali wa mita 15 sasa...
9 Reactions
63 Replies
2K Views
Ungana nami hapa tujadili suala la vikwapa kwa kutumia sayansi. Je, wajua kwamba watu wa Asia ya mashariki huwa hawanuki vikwapa? Eneo la Asia ya mashariki linajumuisha nchi za China, Japan...
10 Reactions
38 Replies
3K Views
Ni sabuni gani nzuri ya kuogea mwanaume kwa ngozi pia na yenye Harufu nzuri sana Nawasilisha
6 Reactions
61 Replies
25K Views
Unavyotoka lazma unakuwa makini sana na kivazi unachotupia juu. Ndio. lazma ujipitishie kioo kuhakiki kama kivazi kimekaa vema au kinahitaji marekebisho, lazma uhakiki kama dizaini ya nguo, rangi...
8 Reactions
34 Replies
2K Views
🇨🇳 Kwa Wachina, Urembo wa Mwanamke ni Wembamba Wake... Katika jamii ya Kichina, wembamba ni ishara ya uzuri wa mwanamke 👩‍🦰✨ Huyu hapa ni mmoja wa wanawake wanaochukuliwa kuwa mrembo zaidi nchini...
6 Reactions
49 Replies
2K Views
Wakuu ni sehem gani hapa dar wanatoa huduma za Wigs za kiume kwa mtu mwenye upara naomba kuwasilisha
4 Reactions
29 Replies
1K Views
Back
Top Bottom