Nenda uliponunua kuna dawa ya kusafishia au kuna kidubwasha kama ufutio ule wa penseli ndio unautumia kusafishiaWakuu naomba mnisaidie kama kuna yeyote anajua jinsi ya kusafisha hizi timbeland boot.,kama kuna dawa maalumu au sabuni,maana zinaanza kutofautiana langi na vidoa doa ambavyo havifutiki
Eeeh yani nilitaka nikuite hapa mzee wa Tim boots, kumbe usha-do the needfulNenda uliponunua kuna dawa ya kusafishia au kuna kidubwasha kama ufutio ule wa penseli ndio unautumia kusafishia
boss kwa bongo lazima zichafuke, kuna vumbi sana...zangu pamoja na dawa zote zishabadilika rangi!Unavaaje sasa mpaka zinachafuka mzee?
Mkuu siku hizi wanavaa watalii huko LongidoTimber Land Boot zilikuwa deal sana Miaka ya 2002 ukitinga unaoneka mshua.
Kwasababu wakati ule ni mpaka ushuke nazo, ila hapo kati zikaingia za kichina ndio kila mtu akazivamia,ila ukiona tu unajua hii mchina hii yenyewe. By the way bei yake original inapanda kila siku haishuki.Timber Land Boot zilikuwa deal sana Miaka ya 2002 ukitinga unaoneka mshua.
Mkuu siku hizi wanavaa watalii huko Longido
Dar hakuna original.PRONDO original zinapatika wapi duka gan kwa dsm na bei sasa inafika pesa ngap
Haaa Zile Mchina noma Ila original tulikuwa tunaliita BUYU.Kwasababu wakati ule ni mpaka ushuke nazo, ila hapo kati zikaingia za kichina ndio kila mtu akazivamia,ila ukiona tu unajua hii mchina hii yenyewe. By the way bei yake original inapanda kila siku haishuki.
Timbz nakumbuka Kuna jamaa alinunua kwa jiwe moja mwaka 2004.Mkuu siku hizi wanavaa watalii huko Longido
Hahaha. Wacha hizi arif. Timbz ni moja kati ya viatu ambavyo vitaendelea kubaki, hata zipite fashion ngapi. Ukizipatia, unawaka tu.
thats cheap......muda huo original zilikuwa zinauzwa Pound sterling 110! sasa hivi pound 160!Haaa Zile Mchina noma Ila original tulikuwa tunaliita BUYU.
Timbz nakumbuka Kuna jamaa alinunua kwa jiwe moja mwaka 2004.
Timber Land Boot zilikuwa deal sana Miaka ya 2002 ukitinga unaoneka mshua.