Kichwa cha habari chajieleza!Mwenye kuujua Ninaomba anijuze ni ugonjwa gani na unatibiwaje? Nimeshatumia dawa nyingi zote nikishauriwa na "wataalamu"!! Nina imani
JF ni baba wa wataalamu...
Bonjour
Wakuu nimepata idea ya kulima kilimo Cha mihogo kibiashara, ila nahitaji kufahamu vitu
Ni maeneo gani naweza kupata shamba
Aina ya mbegu inayo faa Kwa matokeo mazuri
Gharama ya kununua...
1. Project ya Ng'ombe wa maziwa
2. Project ya Ng'ombe wa Nyama
3.Project ya Mbuzi wa nyama
4. Project ya Mbuzi wa Maziwa.
5.Project ya Kondoo wa nyama
5. Project ya Kuku wa Mayai
6.Project ya Kuku...
Hii imekua ikionekana dhahili kabisa vijan wengi wakion kua umeangukia katika kilimo wanakuona umeshafeli kabisa hauna maajabu wandai
Na wamekua wakiona kazi ya kilimo ngumu saana
Hapana hii sio...
Wakuu,
Nipo halmashauri ya Bukoba. Nimegundua miembe yangu inapata kitu kama vumbi jeusi kwenye majani, maembe yanakuwa madogo yenye madoa meusi.
Huu ni ugonjwa gani na dawa yake ni ipi...
Kauli Mbiu- “Changamkia Fursa, Ongeza Kasi ya Maendeleo ya Tasnia ya Chai Tanzania”
Wilaya ya Ludewa kama wazalishaji wa Zao la Chai- tumeshiriki kikamilifu mkutano huu jijini Dodoma
Wilaya ya...
Nimejaribu kufanya kilimo cha mahindi msimu huu wa kilimo and let me tell you something maina, kilimo is not for the weak[emoji1430][emoji1430].
Hamna rangi sija acha ona lakini as they say maji...
MBUNGE ENG. ULENGE: MAAFISA UGANI TOENI USHIRIKIANO KWA WAKULIMA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tanga Mhe. Eng. Mwanaisha Ulenge amekabidhi Mbegu Bora za Kilimo kwa Wanawake wa Mkoa wa Tanga...
(Dead in shell cases)😔⁉️
▪️Hii ni changamoto kubwa ambayo, wafugaji wanaotumia viangulizi (Incubators) hukumbana nayo siku 21 baada ya kuweka mayai kwenye Incubators.
▪️Wafugaji na watumiaji...
Habari wana jamvi. Samahani nahitaji msaada, miti yangu ya parachichi inapukutisha maua. Pamoja na milimao. Je nitumie mbolea ipi kuzuia hiyo hali. Maana samadi huwa naweka kabla ya masika kuanza...
MHE. WANU HAFIDH (Mtoto wa Rais Samia) Awekeza Kuwainua Wanawake na Vijana Wakulima Kiuchumi Kupitia Zao la Mwani
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kusini Unguja na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke...
Ni mikoa gani Tanzania inafaa kwa kilimo na mifugo? Na ni wilaya zipi katika mikoa iyo n maharufu katika izo kazi.
Bei ya mashamba zipoje katika mtazamo wa kununua na kukodi, na je hekari moja...
Hawa wadudu ni kero sana wanapokua ktk makazi yako.
Nimehamia nyumba fulan nimekutana na mazalia ya mende wadogo ambao wamekua wengi sasa..
Inafika hatua mtu umelala kitandani mende anatembea...
katika maeneo mengi humu nchini hususani mashambani, hali ya hewa ni mwanana na inatia moyo sana kwa wakulima, huenda hii ikawa ni ishara ya matumaini kwa wakulima wa mazao mbalimbali humu...
Habari wadau wa jf[emoji112].
Naombeni msaada nahitaji nielekezwe dawa nzuri kwa ajili ya palizi shambani ambayo inaua nyasi almost aina zote.
N.b mahindi yana siku 20 pia shambani kuna mahindi...
Naomba ushauri/maelekezo ya namna ya kutumia mbolea inayotokana na kinyesi cha popo kwa ajili ya kilimo cha mboga mboga kama nyanya, mshumaa, pili pili aina zote, bilinganya nk.
Natoa ushuhuda wangu wa kilimo cha mahindi nilichofanya msimu wa 2022
Niliandaa shamba ekari 3 kwa tsh 180,000.
Nilinunua mbegu aina ya Dk mifuko 7 ya kilo 2 kwa garama ya tsh 91,000.
Gharama...