Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Wadau wa kilimo naomba ushauli ninashamba la mapunga liko kati ya mita 6000 Hadi MITA elf 1 ,je pump zipi ninunue?JE petrol nch 3 hadi 4 au pump ya diesel nchi ya Bomba la nchi 3 u nne au...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari Aise naombeni kujua bei ya alizeti. Tafadhalini
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Jamani kwa wale wa SUA naomba kuuliza Bachelor of Science in animal science inadili na nini hasa? Thanks
0 Reactions
61 Replies
18K Views
Habari wadau, Baada ya kuwa kwenye ajira kwa miaka 10 na kuona msoto uko pale pale,nimeamua kuingia kwenye kilimo kama njia ya kuongeza kipato cha ziada. Nimeanza kwa kukodi shamba Ruvu kwani...
10 Reactions
591 Replies
245K Views
Niulize chochote kuhusu samaki wa mapambo au urembo mawasiliano 0712505049
4 Reactions
53 Replies
5K Views
Mambo vipi wadau nataka kufuga ng'ombe wa kienyeji vijijini bajeti yangu milion 5. Nataka ninunue ndama 1@150000tsh niwakuze kwa miaka 3 then niwauze je? Ni changamoto gani nitakumbana nazo...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Natafuta Mashamba ya Bei Rahisi kwenye Mikoa ya Kagera na Tabora. Mashamba yenye ukubwa wa zaidi ya ekari 50, yawe na upatikanaji wa maji ya kutosha na hali bora ya hewa. Mwenye taarifa za...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari za mida hii wanajamvi. Naomba msaada kwa yeyote anae fahamu ni wapi na weza kupata viazi mkoani Mbeya au Njombe. Bei iwe ya jumla ya shambani na pia gharama za usafiri zimekaaje? Kwa...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Leo ningependa kuzungumzia hii biashara ya kuku inayofanywa na baadhi ya wafugaji ambao mwisho wa siku wanazalisha vifaranga na kuwauzia wajasiliamali wengine. Somo hili ni mahususi kwa wale...
34 Reactions
110 Replies
37K Views
Kwa mwana JF yeyote mwenye ujuzi na uzoefu wa kilimo cha viazi naomba anipe detail kuhusu kilimo hicho. Yaani kwa mfano, nikitaka kulima hekari moja natakiwa kuwa mtaji wa kiasi gani? Na vipi...
3 Reactions
161 Replies
142K Views
Wadau, Nimepata habari rifiji ni mgodi mpya wa upatikanaji wa ngombe na mbuzi kwa bei nzuri. Naomba yoyote mwenye ufahamu wa hili na connection anijuze!
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa kweli namkubali mbwa anaeitwa "GREAT DANE" Size yao, nguvu ya sauti ya kubweka, uchangamfu na nguvu.
5 Reactions
34 Replies
2K Views
Linastawi Tanzania? Linatumikaje?
2 Reactions
31 Replies
1K Views
Naomba ushauri wa jinsi ya kutibu huu ugonjwa.
0 Reactions
2 Replies
572 Views
Habari wanajukwaa, katika kufikiria mbinu na namna ya kuboresha na kufanya ujasiriamali kupitia kilimo na ufugaji nimewaza na kupanga kupata vijana waliopitia mafunzo ya JKT (either kwa mujibu wa...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Wakuu kwa mara nyingine nimefanikiwa kuagiza hawa vifaranga wa Kuroiler. Hawa ni kuku kutoka India na wanaweza fugwa free range na hawa like Dorep wanakuwa wakubwa sana. So by mwezi wa 12...
10 Reactions
84 Replies
51K Views
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Esther Edwin Malleko amegawa TANI MOJA ya Mbegu Bora za Mazao ya Alizeti kwa Wanawake wa Mkoa wa Kilimanjaro ili kuwainua Wanawake Kiuchumi katika...
1 Reactions
2 Replies
739 Views
Habari za majukumu wakuu, Naomba kujua mwenye uzoefu na kilimo cha vitunguu, katika eneo la Kondoa au karatu wapi naweza pata faida, mtaji wangu ni tshs 100,0000.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habari wakuu hawa wadudu wanakula sana mizizi ya nyanya zangu mpaka zinakauka, je nitumie nn kuwadhibiti!?
0 Reactions
1 Replies
558 Views
Mwaka Jana, miwili iliweka matunda machache. Mti wa kwanza ulizaa embe 1 na wa pili maembe 2. Ilikuwa mitamu sana. Nilitarajia mwaka huu miti yote 5 ingezaa, tena matunda mengi kuzidi ya mwaka...
5 Reactions
17 Replies
3K Views
Back
Top Bottom