Je nitumie mbolea ipi kuzuia miti ya Parachichi kupukutisha majani?

sixlove

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
549
372
Habari wana jamvi. Samahani nahitaji msaada, miti yangu ya parachichi inapukutisha maua. Pamoja na milimao. Je nitumie mbolea ipi kuzuia hiyo hali. Maana samadi huwa naweka kabla ya masika kuanza. Asante
 
Tumia mbolea ya NPK 17-17-17 hii mbolea pia ina potassium ambayo inaongeza kiwango cha sukari na kuboresha ladha kwenye matunda,tia kilo 1 kwa kila mti kwa kuchimbia kuzunguka mti. Kinachosababisha mtunda mwaka huu uzae sana na mwaka mwingine uzae kidogo ni upungufu wa virutubisho pale chini kwenye udongo.
 
Madini muhimu katika kufunga maua mpaka kuzalisha matunda ni Potassium, Nitrogen kiasi kidogo,Boron,Zinc na Calcium. Sulfur na Magnesium kama madini ya msaada pia.

Samadi sio kwa ajili ya kuzalishia kama ni commercial farming maana mostly ni katika kukuzia. Tafuta aidha Microp mbogamboga kama mbolea ya chini itakuboost au Yara Booster na kama ukikosa tafuta Tecamin Max na Tecamin flower kuanzia unapoona maua.
Kuna mbolea ya Minjingu kama sio Chai au kahawa sikumbuki vizuri iko poa nayo unaweza opt kutokana na ulipo.
 
Nilisha kutana na changamoto kama hiyo. Kuna chemikali nilitumia kwa kuspray juu ya mmea na tatizo liliisha. Niataifuatilia badae na kukujibu humu. Pole kwa changamoto hiyo.
 
Tumia mbolea ya NPK 17-17-17 hii mbolea pia ina potassium ambayo inaongeza kiwango cha sukari na kuboresha ladha kwenye matunda,tia kilo 1 kwa kila mti kwa kuchimbia kuzunguka mti. Kinachosababisha mtunda mwaka huu uzae sana na mwaka mwingine uzae kidogo ni upungufu wa virutubisho pale chini kwenye udongo.
Asante sana. Je natakiwa nichimbie umbali gani kutoka kwenye shina/mti. Asante
 
Madini muhimu katika kufunga maua mpaka kuzalisha matunda ni Potassium, Nitrogen kiasi kidogo,Boron,Zinc na Calcium. Sulfur na Magnesium kama madini ya msaada pia.

Samadi sio kwa ajili ya kuzalishia kama ni commercial farming maana mostly ni katika kukuzia. Tafuta aidha Microp mbogamboga kama mbolea ya chini itakuboost au Yara Booster na kama ukikosa tafuta Tecamin Max na Tecamin flower kuanzia unapoona maua.
Kuna mbolea ya Minjingu kama sio Chai au kahawa sikumbuki vizuri iko poa nayo unaweza opt kutokana na ulipo.
Asante sana mkuu
 
Tumia mbolea ya NPK 17-17-17 hii mbolea pia ina potassium ambayo inaongeza kiwango cha sukari na kuboresha ladha kwenye matunda,tia kilo 1 kwa kila mti kwa kuchimbia kuzunguka mti. Kinachosababisha mtunda mwaka huu uzae sana na mwaka mwingine uzae kidogo ni upungufu wa virutubisho pale chini kwenye udongo.
parachichi inahitaji radha ya sukari?
 
Back
Top Bottom