Msaada, ipi dawa nzuri ya kuua na kumaliza kabisa uwepo wa mazalia ya mdudu mende

Chomo

JF-Expert Member
Mar 29, 2017
236
616
Hawa wadudu ni kero sana wanapokua ktk makazi yako.

Nimehamia nyumba fulan nimekutana na mazalia ya mende wadogo ambao wamekua wengi sasa..

Inafika hatua mtu umelala kitandani mende anatembea juu ya mwili,hali hii inakosesha usingizi

Na pia kuna choo cha umma wanatoka mende wakubwa wale na kuingia ndan,sasa imekua kero kupita maelezo.

Msaada ndugu zangu anaeijua dawa ya kuwamaliza kabisa hao wa chooni na hawa waliozaliana ndan ya nyumba
 
Nenda duka la dawa za kilimo, sijui jina la dawa ila waambie dawa ya kuua wadudu inauzwa 6000 changanya na maji piga ndani hakikisha vitu vyakula havipo. Inaua wadudu wote ndani
 
Hawa wadudu ni kero sana wanapokua ktk makazi yako..

nimehamia nyumba fulan nimekutana na mazalia ya mende wadogo ambao wamekua wengi sasa.
Waswahili , waswahili vipi unahitaji sumu unaulizia dawa?

Hawa wadudu ni kero sana wanapokua ktk makazi yako..

nimehamia nyumba fulan nimekutana na mazalia ya mende wadogo ambao wamekua wengi sasa..

Inafika hatua mtu umelala kitandan mende anatembea juu ya mwili,hali hii inakosesha usingizi

Na pia kuna choo cha umma wanatoka mende wakubwa wale na kuingia ndan,sasa imekua kero kupita maelezo

msaada ndugu zangu anaeijua dawa ya kuwamaliza kabisa hao wa chooni na hawa waliozaliana ndan ya nyumba
Zipo dawa za unga unazipata kwenye maduka ya dawa za mifugo lakini pia kuna oil chafu na mafuta ya taa au tindikali
 
Hawa wadudu ni kero sana wanapokua ktk makazi yako.

Nimehamia nyumba fulan nimekutana na mazalia ya mende wadogo ambao wamekua wengi sasa..

Inafika hatua mtu umelala kitandani mende anatembea juu ya mwili,hali hii inakosesha usingizi

Na pia kuna choo cha umma wanatoka mende wakubwa wale na kuingia ndan,sasa imekua kero kupita maelezo.

Msaada ndugu zangu anaeijua dawa ya kuwamaliza kabisa hao wa chooni na hawa waliozaliana ndan ya nyumba
Dawa

Dawa Ya vimende vile vidogo ni dawa fulani hivi ya mbu ...inafanana dizaini kama condom...chukua ile choma kwa jiko la mkaa funga mlango ...utakuja kunishukuru....inauzwa miambili tu.
 
Kadhalika dawa ya rungu ya kupuliza ipo kwenye kopo ujazo mkubwa na ndogo ni nzuri sana kwa kuua wadudu wanao tambaa na wanao ruka. Hii haiitaji kuchanywa na chochote.
Uliipata funga madirisha na mlango puliza kiasi toka nje baada ya muda wa saa moja hivi utakuta mbu, mende na wengine wamezagaa chini.
 
Kuna dawa niliwahi kutumia miaka mingi kidogo imepita,ni ya unga,unamwaga sehemu tofauti ndani wakati wa usiku,ukiamka asubuhi unakuta mamia ya mende wamekufa,hapo unakuwa umemaliza mchezo na huna haja ya kurudia tena,kwani huwa inachukua karibu wiki utaendelea kushuhudia mende wakiendelea kufa mpk wanaisha wote.Nilinunua mtaani,ni ya unga na haikuwa kwenye packet, unafungiwa tu kienyeji kwenye karatasi......
 
Back
Top Bottom