Kiua magugu shambani

Apr 27, 2022
22
21
Habari wadau wa jf.
Naombeni msaada nahitaji nielekezwe dawa nzuri kwa ajili ya palizi shambani ambayo inaua nyasi almost aina zote.
N.b mahindi yana siku 20 pia shambani kuna mahindi pekee
IMG_20231219_184259_824.jpg
 
Yaan unataka kiua magugu tu au na kuzuia nyasi zisiote kama kiuamagugu tu paraquit ni dawa bora sana bei yake ni elfu12 kama ni kuzuia nyasi zisiote na kuua zisiote uliza duka la madawa jina lake nimelisahau kidogo ila ni kampun hiyohiyo bei ni elfu28 afu bro mambo ya kuuliza madawa wakati maduka yapo au unaweza google ni kujaza serve zetu usirudie tena
 
Shukrani zikueendee
 
😀
 
Unataka kumpigisha shoti.
Paraquat akipuliza shambani mahindi yake yote yatakauka ghafla.
Nenda duka la pembejeo waulize dawa gani ya magugu unaweza fanyoa palizi ya mahindi.
Kama upo Dar nenda Mwenge kamouni ya Bytrade Ltd au Bliss Agro Inputs Ltd watakushauri na kukuuzia dawa sahihi.
 
Haha upige paraquat Mzee....
Kila kitu kitaungua shambani ohooo ...

Kuhusu ipi utumie cheki na wataalamu wa masuala hayo watakushauri utumie dawa ipi kulingana na nyasi zilizoota hapo.

Ni vizur ukamchek bwana shamba/kilimo akuelekeze kitaalamu kabisa maana Hawa agrovet nao ni business oriented sana sometimes.
 
Habari wadau wa jf.
Naombeni msaada nahitaji nielekezwe dawa nzuri kwa ajili ya palizi shambani ambayo inaua nyasi almost aina zote.
N.b mahindi yana siku 20 pia shambani kuna mahindi pekee
View attachment 2849855
Katafute snowburner inazuia magugu kuota, pia ni selective. Yaani haiunguzi mahindi. Pia ina kama mbolea ndani yake. Bei kwa huku ni 24k kwa chupa ya 1L
 
Back
Top Bottom