Magonjwa ya Miembe

adili2

JF-Expert Member
May 22, 2021
826
623
Wakuu,

Nipo halmashauri ya Bukoba. Nimegundua miembe yangu inapata kitu kama vumbi jeusi kwenye majani, maembe yanakuwa madogo yenye madoa meusi.

Huu ni ugonjwa gani na dawa yake ni ipi?

Natanguliza shukrani.
 
Habari, mpambanaji.
 
Magonjwa makubwa ya miembe ni Ubwiri Unga au Powdery mildew na Chule au Anthracnose.
Sumu za kutibu na kuzuia zipo.
Kwa mengi wasiliana na 0714 600575
 
Je una utaratibu wa kupulizia viuatilifu? Kama ni hapana jifunze Kwa walio kutangulia maana kilimo Cha sasa sio kile Cha bustani ya Eden kuwa utapanda na kuvuna bali ni kuweka jitihada maana visumbufu ni vingi vya mazao.
 
Back
Top Bottom