Ni mikoa gani Tanzania inafaa kwa kilimo na mifugo?

kingsawa

New Member
Sep 3, 2023
2
0
Ni mikoa gani Tanzania inafaa kwa kilimo na mifugo? Na ni wilaya zipi katika mikoa iyo n maharufu katika izo kazi.
Bei ya mashamba zipoje katika mtazamo wa kununua na kukodi, na je hekari moja lina uwezo wa kuzalisha gunia ngapi za nafaka/mazao kipimo cha 100kg kwa kila gunia?
 
This is too general, try to be specific one what kind of agriculture project you want to start, if it is cash crops , what is that?

Because every region has its own favor on various crops, may be even animals.

Unless you want a research of agriculture in Tanzania, try to reframe your post
 
Morogoro eneo la Mvuha mpaka Kisaki mashamba bei rahisi, kuba wakulima na wafugaji jamii ya wamasai na wasukuma na pia kuna wakulima. Ardhi ina rutuba unaweza kulima zao lolote unalotaka
 
Morogoro eneo la Mvuha mpaka Kisaki mashamba bei rahisi, kuba wakulima na wafugaji jamii ya wamasai na wasukuma na pia kuna wakulima. Ardhi ina rutuba unaweza kulima zao lolote unalotaka
NAKAZIA HAPA. mimi mwenyewe nimewahi fika huko nikajionea
 
Iringa wilaya ya kilolo ruaha mbuyuni wanalima kitunguu maji sana kwa kutumia bonde la mto Ruaha na Rukosi afu kana mji mdogo wa Ilula wanalima vitunguu swaumu ,walima vitunguu maji wanalima nyanya walima mahindi ukitaka kilimo cha Miti mafinga na njombe viazi parachi nk
 
Kilimo cha mazao yote nenda morogoro wilaya ya mlimba au ifakara, pia huko ngurue kila nyumba inafuga na mvua ni uhakika kwa mwaka unavuna mara tatu, changamoto mashamba huko ni ghari iwe kukodi au kununua. Kwa nchi hii moro ndo mkoa bora kwa kilimo na ufugaji unashika no 1
Usiisahau tuliani
 
Back
Top Bottom