CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,950
- 9,510
Habari humu?
Nataka kujua kama kuna mdau ama wadau wanao lima Magimbi na viazi vitamu kibiashara, naposema kibiashara namanisha kulima mashamba makubwa na pia kulima muda wote wa mwaka mzima.Hapa maana yake mtu anaweza toa tani 15+ kwa mwezi au hata zaidi ya hapo. Kama yupo basi ani pm ila uwe unalima na sio stories za kwamba unajiandaa kulima.