Nguruwe wa kufugwa na nyama wapo

Nguruwe wa kufugwa na nyama wapo

EDIGAR JO

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2024
Posts
592
Reaction score
595
Je! Unahitaji nguruwe wa nyama ??
Je! Unahitaji watoto wa nguruwe wa chin ya miez 3 ??

Kalibu LUNO Pig Farm tupo nao kwa bei sawa na afya na uzito wa nguruwe .

Location ; MPUNGUZI,DODOMA

Follow the NGURUWE DODOMA channel on WhatsApp: NGURUWE DODOMA


Mawasiliano 0796007039
 
Mwezi nyuma hichi kijiji nilipo walipiga marufuku ulaji wa nguruwe, ebwana nyama ya nguruwe iliuzwa kwa magendo balaa.
 
Mbonga pendwa yenye wivu mkubwa inaweza kutumiwa mpaka na pombe
 
imekaa vzr mno.
kazi ni kipimo cha utu.
 
Back
Top Bottom