Ushauri juu ya biashara ya maji ya viroba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri juu ya biashara ya maji ya viroba

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by kdany, Aug 10, 2012.

 1. k

  kdany Senior Member

  #1
  Aug 10, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 150
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  wakuu habari,siku zote naamini jf n sehemu yangu pekee ambapo naweza pata ushauri kwa asilimia 95%,naomba km hujui kuchangia kwa staha,nidhamu basi pita tu hapa,kuna biashara nimebuni ambayo kwangu naamini inaweza kuniletea mwanga wa maisha kwa kiasi fulani,biashara yenyewe ni ya kuuza maji ya viroba yaliyochemshwa kwa Tsh.mia(100Tsh)MAENEO YA MABIBO sokoni na MANZESE,naomba ushauri juu ya biashara hii,nini changamoto zake,mahitaji muhimu km DELL(ICE BOX) kubwa yenye uwezo wa kubeba pakti za maji km 300 hivi kwa mara moja inatoka kwa sh.ngapi,na ushauri mwngne wowote wa ziada,natanguliza shukrani zangu kwenu na mbarikiwe sana.Asanteni.
   
Loading...