Soko la ndizi D.s.m na Dodoma

Nyamburi

JF-Expert Member
Oct 28, 2011
306
36
Wadau naomba kujua utaratibu wa kuuza ndizi za kuiva katika soko la ndizi la Mabibo D.s.m na huko Dodoma,ndizi ninazozungumzia ni za kuiva kutoka mkoani Morogoro hasa Matombo na Mgeta!nilikua naomba kujuzwa utaratibu na upatikanaji wa madalali katika masoko ya mikoa hiyo ya Dar na Dodoma
 
Back
Top Bottom