Big time for upcoming enterpreneurs - Victory Mobile Network! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Big time for upcoming enterpreneurs - Victory Mobile Network!

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by VictoryMobileNetwork, Aug 6, 2012.

 1. V

  VictoryMobileNetwork Member

  #1
  Aug 6, 2012
  Joined: Aug 6, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [h=1]Welcome to Victory Mobile Network![/h]Hi,

  It's a pleasure to have you on-board. Hopefully, you'll subscribe to Victory Mobile Network sooner than later!

  Our institution is dedicated to help young entrepreneurs overcome theburden of rising capital through savings, coupled by top-ups in order to achieve their goals. We also offer a one-to-one training, that is tailored to suit specific desires in a market-driven business environment.

  Please send us an email for further details: victorynetwork2020@gmail.com

  Thanks,

  Administrator,
  Victory Mobile Network.
   
 2. Wun

  Wun JF-Expert Member

  #2
  Aug 7, 2012
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 353
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wewe weka kila kitu hapa unatupa email inaaza na http kuwa serious

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 3. V

  VictoryMobileNetwork Member

  #3
  Aug 7, 2012
  Joined: Aug 6, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa wale wapenzi wa 'kukopy' na 'kupaste', all rights reserved (c) Victory Mobile Network, 2012. (R)- registered trademark.

  1. Registration fee, Tsh.15,000/= (non-refundable)
  2. Monthly deposits, Tsh.40,000/=
  3. After 3 months you're eligible for a loan of Tsh.200,000/=
  4. The loan is repaid in 5months at Tsh.46,000/= per month.
  5. On top of the loan repayment, you continue to make monthly deposits of Tsh.40,000/= to boost your savings.
  6. After completing repaying the first loan, you'll be eligible for another loan of Tsh.500,000/= to be repaid in 10months, at Tsh.60,000/= per month.
  7. On top of the loan repayment, you continue to deposit Tsh.40,000/= each month to boost your savings.
  8. The same sequence continues with loans of Tsh.1million up to Tsh.5million.
  9. No surety or collateral needed.
  10. At any time t, if you want to quit, all deposits in your account will be refunded without any deductions, save for the outstanding loan/debt due!
   
 4. chash

  chash JF-Expert Member

  #4
  Aug 7, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Wana JF, hebu tumulikieni hii kitu zaidi. Tunapaswa kujiuliza maswali yapi na kuridhika na majibu ghani kabla ya ku invest hapo juu? mwalimu alipokuwa anafundisha hili somo, wengine tulikuwa hatupo darasani, hiyo tunaomba kusaidiwa.
   
 5. M

  Malila JF-Expert Member

  #5
  Aug 7, 2012
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Nimemwambia rafiki yangu mmoja juu ya hili, kasema linaweza kufanana na lile shirika lililokuwa Mabibo siku za nyuma. Kwa nini wakusanye kwanza ndio wakukopeshe huku ukiendelea kutoa michango mingine nje ya malipo ya kila mwezi?
   
 6. Wun

  Wun JF-Expert Member

  #6
  Aug 7, 2012
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 353
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Subiri nifanyie kazi kwanza nitarudi na majibu.

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 7. V

  VictoryMobileNetwork Member

  #7
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 6, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mteja ni mfalme, Victory Mobile Network inajali sana wateja wake!

  We're mobile in sense that, we don't wait for customers to come to our offices, we link up through networking and follow them where they're!

  Apart from that, we also operate electronically, through inter-bank transfers, using the mobile networks: Airtel-Money, Mpesa, EzyMoney, TigoPesa, etc.
   
 8. V

  VictoryMobileNetwork Member

  #8
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 6, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Logic ya kuwa na michango ya kila mwezi ni kuondoa hitaji la dhamana ya mkopo. Miezi 3 baada ya kujiunga, unakuwa na 120,000/= then unaongezewa 80,000/= na kupewa mkopo wa 200,000/=. Tofauti na deci au upatu, source ya hela inayojaziwa sio michango ya wengine bali ni mikopo toka benki na vyanzo vingine.

  Maswali zaidi yanakaribishwa ili kuondoa sintofahamu. Pia tunapokea maoni kwa nia ya kuboresha huduma zetu.
   
 9. akohi

  akohi JF-Expert Member

  #9
  Aug 8, 2012
  Joined: Jul 13, 2012
  Messages: 761
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 60
  Tofauti yenu na DEC ni ipi?
   
 10. M

  Malila JF-Expert Member

  #10
  Aug 8, 2012
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Swali langu lipo ktk hivyo vyanzo vingine, viweke wazi hivi vyanzo vingine ili ueleweke.
   
 11. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #11
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,119
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  :nerd:
  15,000 + (40,000 x 3) = 135,000
  Loan 200,000
  5 x 46,000 +(40,000 x 5) = 430,000
  Loan 500,000
  10 x 60,000 +(40,000 x 10) = 1,000,000

  Total Loans = 700,000
  Total Payments = 1,565,000

  Interest Rate 123%
  Wajinga ndo waliwao!!!
   
 12. Prisoner 46664

  Prisoner 46664 JF-Expert Member

  #12
  Aug 8, 2012
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 1,955
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  Unajua kabla sijaona ulichoandika nilitaka kumshauri huyu ndugu yetu kwanza aiweke hii idea kwenye kiswahili,na ahakikishe anaiuza kwa mama ntilie tu na si daraja jingine lolote la watu...manake yeyote aliyesoma finance walau kwa mbali,au kujua hesabu ya hela walau kidogo hawezi kuibiwa kirahisi hivi..

  Alafu jamaa kama amehangaika mpaka kuregister na kuprotect idea ambayo obviously haitawork..na zaidi ya yote akawa na audacity ya kutuuzia sisi great thinkers hiyo idea...sio siri anahitaji ushauri wa kibiashara.
   
 13. V

  VictoryMobileNetwork Member

  #13
  Aug 9, 2012
  Joined: Aug 6, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  DECI ni upatu/utapeli (ooops!! Kumbe kesi iko mahakamani), Victory Mobile Network ni kampuni iliyosajiliwa kisheria na inaendesha shughuli zake kihalali nchini Tanzania.

  Unakopeshwa kiwango kilicho halali yako kutokana na akiba uliyoweka kisha unarejesha mkopo, sio kupanda mbegu, eti hela ziote kama uyoga!??!!!
   
 14. V

  VictoryMobileNetwork Member

  #14
  Aug 9, 2012
  Joined: Aug 6, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vyanzo vingine ni pamoja na 'inter-company interest-free soft loans' yaani mikopo 'laini' isiyo na tozo/riba toka kampuni washirika, 'sister companies'.

  Pia faida kiasi inayotokana na biashara za kampuni yetu hurejeshwa kwenye 'pool fund' ya mikopo kwa ajili ya wateja wetu.
   
 15. V

  VictoryMobileNetwork Member

  #15
  Aug 9, 2012
  Joined: Aug 6, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umekosea 'njomba', ukichimama nchale, ukiinama nchale!! Hiyo 'loan repayment' yako imejumlisha akiba ya kila mwezi ambayo ni mali ya mteja kwa asilimia 100!!

  Wakati wowote mteja akiamua kujitoa anarudishiwa akiba yake yote bila makato, ukiacha deni la mkopo kama analo.
   
 16. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #16
  Aug 9, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  Hii aidea ni nzuri sana tatizo jinsi ya ku implement ndo ishu, na inataka kufanana na moja hivi tunayo ifanyia majaribio ila ya kwetu ni kwa ajili ya Vikundi vya HISA/VICOBA/VSLA
   
 17. V

  VictoryMobileNetwork Member

  #17
  Aug 10, 2012
  Joined: Aug 6, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watu wengi wamevutiwa na wanaendelea kujiunga, japo idadi kubwa ni jinsia ya kike, maybe coz wanaume huchukua muda mrefu kuchanganua mambo na kufanya maamuzi.
   
 18. Adharusi

  Adharusi JF-Expert Member

  #18
  Aug 10, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 10,630
  Likes Received: 3,011
  Trophy Points: 280
  Ngoja nisubiri
   
 19. M

  Malila JF-Expert Member

  #19
  Aug 10, 2012
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Hata DECI, Dollar jet,wengi walikuwa wanawake mkuu.
   
 20. V

  VictoryMobileNetwork Member

  #20
  Aug 11, 2012
  Joined: Aug 6, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwenyezi Mungu aepushie mbali janga la upatu kama deci lisitokee tena nchini mwetu. Uaminifu wa wateja wetu ndio chachu ya mafanikio yetu.

  Wote waliojiunga wanapata fursa sawa ya mikopo bila upendeleo.

  Victory Mobile Network ni chaguo makini kwa wajasiriamali wadogowadogo. Karibuni sana!!!
   
Loading...