Nikope wapi this amount

Nivea

JF-Expert Member
May 21, 2012
7,459
4,748
JAMANI NINAHITAJI MKOPO WA HARAKA SANA KAMA 5M HIVI .kuna mahali nimepata kiwanja chini ya hiyo bei sasa nataka nikinunue na kwa sasa nii invest kwenye kitu kingine nikabaki holaa nimewaza mpaka je ni benk gani yenye riba ndogo au nawezaje kukopa saccos hizo hela ila sina kitu chakuweka dhamana kweli nahitaji hiki kiwanja .ninauwezo wakurudisha kila mwezi 200,000.hebu nisaidieni mawazo yenu wadau.kiwanja kiko sokoni so mkopo nahitaji wa haraka sana
 
Duh kwa kweli mimi sina hata idea kabisa mwenyewe nataka mkopo ila ndio hivyo nimekwama - tusaidieni wenye kujua asante
 
Mods kwanini mmeufunga huu uziiiiiiiiiii ubabe mwingine si mzuri
 
Nielekeze kilipo hicho kiwanja na namba ya muuzaji mkuu. Kiko prime area?
 
Back
Top Bottom