Mbia civil and building company | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbia civil and building company

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by NICODE, Aug 21, 2012.

 1. N

  NICODE Member

  #1
  Aug 21, 2012
  Joined: Jul 18, 2012
  Messages: 66
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  hi ni company ambayo ilifunguliwa na baba yangu ambaye yeye ni marehemu but by the time he passed away ndo nilikuwa najiunga chuo so nikashindwa kuendeleza,company bado ilikuwa inalipiwa so babo ipo active,document zote zipo including certificate of incorporation,leseni ya biashara,tin number and CRB registration certificate,
  my father was just a director,my mom ndo mwenye share lakini yeye an uwezo kabisa wa ku run company so plz kama kuna m2 yeyote ambaye anaijaji kuwa mbia espicially tusaidiane kwenye capital tukipata mradi na pia swala zima la kutafuta kazi. all the agreement will be in writting and we can draw our terms!
  Nilijaribu kuomba tenda mwaka jana nikashika nafasi ya pili,so i have experience on how to tender!
  naitaji hata ushauri tu
  0712 965184
   
 2. c

  chodoo Member

  #2
  Aug 22, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15
  hiyo kampuni ipo class gani
   
 3. N

  NICODE Member

  #3
  Aug 22, 2012
  Joined: Jul 18, 2012
  Messages: 66
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  class seven
   
 4. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #4
  Aug 22, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  need a shareholder enheee safi jaribu kucheki na watu wa ardhi hivi..
   
Loading...