msaada. kwa wale wenyeji wa ulanga ni watu wapi hasa (wakulima)wanaotakiwa kuhama pori la kilombero | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada. kwa wale wenyeji wa ulanga ni watu wapi hasa (wakulima)wanaotakiwa kuhama pori la kilombero

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by MSEZA MKULU, Aug 21, 2012.

 1. MSEZA MKULU

  MSEZA MKULU JF-Expert Member

  #1
  Aug 21, 2012
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 3,733
  Likes Received: 4,587
  Trophy Points: 280
  habari zenu wadau. ninatafuta eneo la kulima maeneo ya wilaya ya ulanga kwenye bonde la mto kirombero ( ilagua). nilistushwa niliposikia kuwa kuna watu walioingia kwenye hifadhi ya pori la kirombelo. kama kuna mtu anataarifa ni maeneo yapi ambayo watu wanatakiwa kuhama. ninaombeni msaada wadau kamtaji nilikodunduliza kasije kakaishia hewani.
   
Loading...