Msaada: Nataka kuanza biashara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: Nataka kuanza biashara

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by donlucchese, Aug 16, 2012.

 1. donlucchese

  donlucchese JF-Expert Member

  #1
  Aug 16, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 9,340
  Likes Received: 3,474
  Trophy Points: 280
  Salaam wakuu,

  The issue is, am planning to staRT my own business with a capital ranging from 5-10mill. Sina experience sana ya biashara so naomba kujuzwa biashara gani kwa hapa dar es salaam ni profitable na jinsi yakuiboresha biashara na kuifanya iweze kugrow.

  Naomba kwa wana Jf ambao ni wafanyabiashara tafadhali muweze kunipa ushauri utakaonisaidia katika ndoto zangu za kujikwamua na umaskini.

  Asanteni!
   
 2. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #2
  Aug 16, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Unaweza kununua bajaj mbili @4m each. Bajaj moja kwa siku dereva atakuletea sh 15,000.=, ukiondoa gharama bajaj mbili kwa mwaka zitazaa bajaj moja mpya,running expenses zake ni ndogo sana.
   
 3. donlucchese

  donlucchese JF-Expert Member

  #3
  Aug 16, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 9,340
  Likes Received: 3,474
  Trophy Points: 280
  Bishanga thanx kwa mawazo yako mkuu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Mc Tilly Chizenga

  Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member

  #4
  Aug 16, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 3,698
  Likes Received: 807
  Trophy Points: 280
  ushauri wangu...mpe pesa zako jamaa mmoja humu ndani anaitwa Bishanga,atakununulia bajaj 2,baada ya mwaka mmoja bajaj zako 2 zitazaa bajaj 1 hivyo baada ya mwaka nenda kwa Bishanga atakupa BAJAJ 3 kisha atakufundisha jinsi ya kuzizalisha bajaj!
   
Loading...