Msaada kuhusu viti vya plastiki imara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada kuhusu viti vya plastiki imara

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by ruston8919, Aug 17, 2012.

 1. ruston8919

  ruston8919 Member

  #1
  Aug 17, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 68
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  wakubwa mlioko dsm au pande yyt naomba msaada wapi nitapata viti imara vya plastiki na kwa bei gani, nataka ninunue ili niwe nakodishia watu kwa ajili ya shughuli mbalimbal, nitashukuru sana kama nitapata taarifa kwa kina.
   
 2. ruston8919

  ruston8919 Member

  #2
  Aug 19, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 68
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  wadau wa viti jamani msaada mdogo wenu naomba
   
 3. a

  alex50 JF-Expert Member

  #3
  Aug 19, 2012
  Joined: Jan 28, 2008
  Messages: 206
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 45
  CELLO ni imara shs 13000 kimoja kaika maduka ya jeshi, uraiani itazidi kidogo
   
 4. mito

  mito JF-Expert Member

  #4
  Aug 19, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 7,605
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Mi pia na-recommend cello, nimeishavitumia na sijajuta, bei ni kama alivyosema mkuu hapo juu, ila hata kariakoo utapata kwa bei hiyo hiyo ukizunguka vizuri plus kubagain
   
 5. ruston8919

  ruston8919 Member

  #5
  Aug 19, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 68
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  asanteni wakuu pamoja sana
   
Loading...