msaada wa mawazo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada wa mawazo.

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by mtendakazi, Aug 14, 2012.

 1. m

  mtendakazi Member

  #1
  Aug 14, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani wana jamii sina hofu kwa msaada ntakaoupata kupitia forum hii wa kimawazo ili niondokane na changamoto inayonikabili kwa sasa. kwa kifupi iko hivi mm ni mwejeji wa mkoaX, nina ndugu wawili ambao bado wako shule za sekondari, nina mzazi mmoja tu (mama) ambaye anaishi kwenye dimbwi kubwa la umaskin, elimu yangu ni form six ila nilipata dvn IV. ndugu zetu ni kama wametutenga. kwa sasa nmefika hapa mjini DAR nimefikia kwao na rafki yangu tuliyesoma nae o-levo maisha yao pia ni ya chini hata huakika wa msosi haupo, hivyo basi naombeni ushauri wenu jinsi ya kusonga mbele kwani nahisi kuchanganyikiwa. nachohitaji zaid ni jinsi ya kutatua hali yangu kiuchumi ktka mazingira niliyoelezea hapo juu.
   
Loading...