Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Habari zenu wakuu, naomba mwenye ufaham fasaha juu ya ubadilishaji wa fedha za kigeni na yetu, nasikiaga watu wanafanya bishara yakubadilisha fedha kila kukicha mjini, je ni nani ambaye anajua...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
heshima mbele wakuu.ninaomba kujua ni njia gan yakuaminika ninayoweza kuagiza eletronics(simu,laptop n.k)kutoka nje ya nchi(u.s,india na japani)..msaada tafadhali..
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa wanaohitaji vitabu vya elimu ya Ujasiriamali na Mafanikio kwa ujumla – kwa ajili ya kufundishia au biashara (jumla tu) kuna kitabu chenye kichwa “MAFANIKIO YA KIFEDHA”. Kitabu hiki tayari kiko...
0 Reactions
1 Replies
8K Views
Mimi ni mjasiriamali, naendesha biashara zangu ktk eneo la Kariakoo Dar es salaam. Katika biashara yangu nimejikita zaidi kwenye kuuza/supply bidhaa za Stationery na Printing. Nimejikita kwnye...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Hope wazima, mi naomba msaada jamani, ninapenda sana kuanza duka la nguo mkoani,nimefanya marketing survey nimeona mkoani patalipa kuliko hapa dar, sasa ninataka kupata usaidizi maana nataka niwe...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Wakuu habari yenu Aisee katika pita pita yangu humu niliona kuna post nyingi kuhusu ufugaji wa kuku zikieleza jinsi ya kufuga kuku na maelekezo yake kwa kina Ila leo nilikuwa nina swali kuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nataka kufanyanbishara ya MPESa, Tigo pesa, uuzaji wa vocha za Startimes, DSTV, Dawasco nk. Nimeambiwa rahisi kupata zote kupitia kampuni ya Selcom. Kwa wenye uzoefu utaratibu upoje na je, inalipaje?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Amani kwenu wadau!..natumai wote ni wazima na mnaendelea vyema na majukumu! nahitaji msaada kwa yoyote anayefahamu zaidi juu ya T shirts, Caps, Mugs and wheel covers printing business anipe...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Katika Hekaheka Za Utafutaji Niko Nje Ya Nchi Nimeajiriwa Na sasa Nina Laki 3 Tsh...Ila Nahitaji Kurudi Tz Ili Nijiajiri. Kwa Uwezo Wangu Mdogo Wa Kufikiri,ninampango Wa Kujumua Viatu Mbeya...
0 Reactions
54 Replies
6K Views
Mimi ni mama ambaye niliamua kuingia kwenye uwakala wa mpesa na tigo pesa. Nilianza kulipia mpesa jamani ni siku chache tu nimepata line yao, hongera mpesa. Kuja kwenye tigo pesa nimelipia zaidi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
My company has teamed up with a Chinese Company (Green Energy Company) The long term plan it to produce bio fuel but currently we are looking at cultivating maize, sugarcane, rice, sorghum and...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
It feels a little awkward when you meet a client that asks for your website so that he can have a good understanding of your products just to learn you dont have one. Many small businesses...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
I’m going to show you why you need to build your own business, and exactly what kind of business. But this isn’t just about changing the type of business you’re working with; it’s also about...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau, Watu wengi wamkuwa wakiuliza faida katika biashara ya radio, jibu hili hapa:- 1. Radio hungiza pesa kupitia matangazo. Kwa mikoa kama ya Dodoma, Arusha, Mwanza, shinyanga n.k tangazo moja...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
hi ni company ambayo ilifunguliwa na baba yangu ambaye yeye ni marehemu but by the time he passed away ndo nilikuwa najiunga chuo so nikashindwa kuendeleza,company bado ilikuwa inalipiwa so babo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
habari zenu wadau. ninatafuta eneo la kulima maeneo ya wilaya ya ulanga kwenye bonde la mto kirombero ( ilagua). nilistushwa niliposikia kuwa kuna watu walioingia kwenye hifadhi ya pori la...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
JAMANI NINAHITAJI MKOPO WA HARAKA SANA KAMA 5M HIVI .kuna mahali nimepata kiwanja chini ya hiyo bei sasa nataka nikinunue na kwa sasa nii invest kwenye kitu kingine nikabaki holaa nimewaza mpaka...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
wakubwa mlioko dsm au pande yyt naomba msaada wapi nitapata viti imara vya plastiki na kwa bei gani, nataka ninunue ili niwe nakodishia watu kwa ajili ya shughuli mbalimbal, nitashukuru sana kama...
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Welcome to Victory Mobile Network!Hi, It's a pleasure to have you on-board. Hopefully, you'll subscribe to Victory Mobile Network sooner than later! Our institution is dedicated to help young...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…