Transportation business | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Transportation business

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by fungafunga, Oct 4, 2012.

 1. f

  fungafunga Member

  #1
  Oct 4, 2012
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 40
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  ndugu zangu wana JF naombeni mchango wenu wa mawazo kwa hiki ninachofikiria.
  last week nimepata approval ya 40 million loan kwa interest rate ya 16% ambayo ntatakiwa kuwa nimemaliza mkopo kwa 4yrs. nilifikiria kuwa nininue truck scania 113 15tones nifanye safari za ndani au ninunue coaster niitege pale biafra nisubirie safari yeyote pale. najua kuna changamoto zake but i always dont fear to take risk.
  please naombeni michango yenu..
   
 2. Danp36

  Danp36 JF-Expert Member

  #2
  Oct 4, 2012
  Joined: Jul 31, 2010
  Messages: 1,607
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  "Dont put your eggs in one pocket.'kama inawezekana unataka kununua gari la abiria,makesure u take insurance comprehensive cover as a protection.for more inf.wanaweza kukujibu experts,wa j.forum
   
 3. f

  fungafunga Member

  #3
  Oct 4, 2012
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 40
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Danp36 nakushkuru sana for your input. ni kweli siwezi invest pesa yote hiyo halafu nisiweke comprehensive insurance. my intention was to get advise toka kwa waliokwenye hiyo business line tayari on the expected challenges and so on.
   
 4. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #4
  Oct 4, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  una uzoefu wa magari? biashara ya magari? utasimamia wewe? kama hauna hivyo vitu 3 tafuta kingine cha kufanya
   
 5. t

  tabu kuishi JF-Expert Member

  #5
  Oct 4, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 354
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  usinunuwe 113 ya kawaida may be labda semetrela kwani ukinunuwa pulling pekee yake itakusumbuwa piya unaweza jaribu scania 93 au 94 mayai ambazo zinauwezo wa kupakia tani 15 semi nzuri 113 itakutowa, JIANDAE KUPAMBANA NA MADEREVA KWANI NIPASUWA VICHWA NA NDIO WANAOFANYA BIASHARA MAGRI IWE NGUMU KWA WATU WANAO ANZA HIYO BIASHARA MCHANGANUO SCANIA 93 KWENDA MWANZA UNALIPWA 2,400,000, KURUDI UNA RUDI NA NGOMBE IGUNGA DAR SH 600,000/= AU UNARUDI TUPU HADI KARIBU NA DODOMA UNAKWENDA KUPAKIA MAHINDI MKOKA, MATUI AU KIBAYA SH 850000/= DIZEL MWANZA DAR KUPTIA MATUI AU MKOKA NI LITA 750 HADI 800 POSHO YA DEREVA NI 80,000/= TANIBOI 30000/= KWA DEREVA INAJUMLISHA GHARAMA ZA ULINZI WA GARI NA POSHO YA TRAFIKI BARABARANI SCANIA UNAWEZA TUMIA TAIRI MWAKA MZIMA USIBADILISHE LABDA ZA MBELE URUDISHE NYUMA BAADA YA MIEZI 10 WASTANI KWENDA MWANZA NA KURUDI GARI INA BAKIZA 1000,000/= NA KWA MWEZI UNAWEZA KWENDA MARA 4 HADI TANO. MIZIGO YA IGUNGA DAR NI SH 1,800,000/= UKAPAKIA NGOMBE HAPO IGUNGA NA KURUDI DAR HUWEZI KOSA MILIONI MOJA
   
 6. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #6
  Oct 4, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,118
  Trophy Points: 280
  Mkuu kwa Hiyo Pesa Unaweza Pata SCANIA? sijui bei zake lakini.

  Ok back to the Topic, Mkuu ni kwamba Unacho Takiwa Kufanya ni Kukaa na Kuchora na Kuja na Sustainable Business, Biashara ambayo utaifanya maisha yako yote.

  Kama Umechagua Transportation hakikisha unaangali industry ya Transportation ilivyo na wewe kujipanga kimikakati

  Ila mimi nikushauri yafuatayo

  1. Kuna story moja niliwahi kuileta Humu kuhusu Maisha ya Biashara kule China, CHINA mtu anaanza Transportation Companya na Baiskeli lakini mwisho wa Siku anakuja hadi kumiliki Magari makubwa, Tatizo kubwa linalo wakabili Watanzania wengi ni Kutaka kuanzia Juu, Na siku zote ukianzia juu ni lazima Ushuke Mkuu, Wapo watu walio kuwa Na MABASI lakini wakaishia kununu Haice baada ya Mabasi kuwashinda,

  - So Anza Kidogo kidogo ukiwa na Malengo ya Kufika Mbali sana, Kama ni transportation anza hata na Pikipiki zile zenye tera lakini lengo lako ni siku Moja Umiliki Magari makubwa, si kwamba ukianza chini ndo hutameki faida no, Unaweza kuwa na SCANIA NA BADO UKAWA UNALIA HASARA,

  - Ni lazima usome Mipango ya Serikali imekaa vipi make kama kweli watafufua RELI ZOTE ni kwamba MIZIGO YA KWENDA DAR-ARUSHA-KILIMANJARO itasafirishwa kwa Treni, MIIZIGO YA MWANZA, DODOMA,SINGIDA,TABORA,KIGOMA NA MWANZA

  so ni lazima utake it into considaration,

  MABASI
  -Hapa napo kama unavyo jua wameanza na TREN, then MABASI YAENDAYO KASI, then Wanataka Kampuni chache za kufanya Transportaion ya Watu DAR na si kama sas ambapo kila mtu ana kikampuni chake, so mkuu, Wanata hata kampuni TANO ZITAKAZO KUWA NA NGUVU KUBWA SANA YA KUFANYA USAFIRI DAR

  - Ila Wabongo mpaka sasa wamelala na nina uhakika hizo KAMPUNI ZITATOKA NJE YA NCHI halafu watanzania wataanza kulalamika, na wakati muda wa kuunganisha mitaji ni sasa

  SO CHOCHOTE UNACHO TAKA KUFANYA HAKIKISHA UNAANGALI SERA ZA SERIKALI ZIMEKAA VIPI MKUU, MAKE THE TIME IS COMING
   
 7. f

  fungafunga Member

  #7
  Oct 4, 2012
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 40
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  duh!!
  kaka thanks a lot. nafanyia kazi mawazo yako. ntaku pm if allowed.
   
Loading...