Naomba ushauri na meelekezo ya wapi na aina ya pikipiki bora ya kike | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba ushauri na meelekezo ya wapi na aina ya pikipiki bora ya kike

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by Mama Ray, Sep 30, 2012.

 1. M

  Mama Ray Member

  #1
  Sep 30, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu wadau wa JF nawaomba mnishauri na kunielekeza wapi nitapata na ni aina gani nzuri bora ya pikipiki ya kike.
   
 2. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #2
  Sep 30, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Kitu Yamaha, kizuri kwa ladies. Mama watoto wangu anacho hiki

  [​IMG]
   
 3. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #3
  Sep 30, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  kwetu pazuri..
  nimeshapakumbuka..
   
 4. Mfarisayomtata

  Mfarisayomtata JF-Expert Member

  #4
  Oct 1, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 417
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Kama ni mwembamba mnunulie BAJA kama mnene mtafutie kama icho cha juu ulichoonyeshwa.
   
 5. WABHEJASANA

  WABHEJASANA JF-Expert Member

  #5
  Oct 1, 2012
  Joined: Jun 22, 2011
  Messages: 4,225
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  umekumbuka nini wewe mzee???!!!
   
 6. hekimatele

  hekimatele JF-Expert Member

  #6
  Oct 1, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 9,489
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Check with dealers from Indian wachina watakuzingua.

  Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   
 7. c

  cyruss Senior Member

  #7
  Oct 1, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 198
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Umepata ni pm namba yako utapata pikipk bora ya kike, jamaa yangu anafanya kampuni moja ya wachina , wanawake wengi wa Mtwara wanaendesha pikpik so nyingi huwa zinaenda huko mtwara wanzipenda sana na huwa zinaisha mzigo tu ukifika na nchi jirani pia ya msumbiji wanawake wangi wanazitumia, ni pm nikuelekeze kama uko dar
   
 8. muuza ubuyu

  muuza ubuyu JF-Expert Member

  #8
  Oct 1, 2012
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 2,635
  Likes Received: 741
  Trophy Points: 280
  Piki piki ya 'kike!' Hivi kumbe piki piki ninazoziona kila siku ni za 'kiume?' Du!!

  Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
   
 9. K

  KVM JF-Expert Member

  #9
  Oct 6, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 1,814
  Likes Received: 336
  Trophy Points: 180
  Kwa kweli hata mimi nilikuwa nashindwa kuelewa kama kuna "pikipiki ya kike".
   
 10. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #10
  Oct 6, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  anamaanisha muda si mrefu baada ya kununua iyo pikipiki tutaimba kwetu pazuri nimeshapakumbuka,na tumpeleke dada uyu kwenye nyumba ya milele kama bado ujaelewa tutasema bwana ametoa,bwana ametwaa jina lake liimidiwe,kama bado ujaelewa watakuja wengine wakueleze zaidi
   
 11. Mao ze dong

  Mao ze dong JF-Expert Member

  #11
  Oct 6, 2012
  Joined: Aug 28, 2012
  Messages: 567
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  hata mimi sikulifahamu ili.jf mwanzo wa kujifunza
   
 12. Borat69

  Borat69 JF-Expert Member

  #12
  Oct 6, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 2,536
  Likes Received: 1,220
  Trophy Points: 280
  Acha upimbi wewe...simu yenyewe unatumia ni Nokia tochi ya baba Mwenye nyumba wako,halafu unaleta ujivuni humu!
   
 13. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #13
  Oct 8, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Ubarikiwe.
   
Loading...