Biashara ya kuranda na kuchana mbao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Biashara ya kuranda na kuchana mbao

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by chodoo, Oct 19, 2012.

 1. c

  chodoo Member

  #1
  Oct 19, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  Wana jamii naomba ushauri kuhusu biashara ya mashine ya kuranda na kuchana mbao, kwa anayeijua vizuri anishauri nataka kuianzisha, na km unajua sehemu ninapoweza kupata mashine za kuchana na kuranda ziwe heavy duty naomba anifahamishe niweze kununua.
   
 2. C

  Changamoto2015 JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 1, 2012
  Messages: 757
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Ngoja waje watoe ushauri hapa
   
Loading...