Yeyote anaeuza tikiti zikiwa shamba tuwasiliane, nnanunua tikiti kuanzia 500 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yeyote anaeuza tikiti zikiwa shamba tuwasiliane, nnanunua tikiti kuanzia 500

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by Tafakuru, Apr 10, 2012.

 1. T

  Tafakuru Member

  #1
  Apr 10, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 84
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  helow
  Wadau mm ni mfanyabiashara wa kati, nnaenunua tikiti maji na ku_supply jijini Dar-es-salaam. Kwa yeyote anaefanya kilimo hiki, tuwasiliane tujenge uchumi wetu. Biashara hii inafaida kubwa ila pia inahitaji kuzingatia kanuni za kilimo chake

  *IYO 500 NI IDADI NA SI BEI, BEI ZIPO ZINAJULIKANA NA PIA NI MAELEWANO, no hujuma
  *I pay in cash
   
 2. bibliography

  bibliography JF-Expert Member

  #2
  Apr 10, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 608
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 60
  mimi nalima tikiti morogoro ila kwa bei ya mia tano kwa tikiti wakati dar linauzwa elfu 3 huu ni ufisadi kumbe wakina EL mko wengi
   
 3. L

  LAT JF-Expert Member

  #3
  Apr 10, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu .... taratibu bana .... mleta thread anamaanisha ananua idadi ya tikiti kuanzia miatano na siyo sh. 500

  mleta mada correct me
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Apr 10, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Wewe ni muhujumu uchumi adhabu yako ni kifungo,lima wewe tuje kununua kwa mia 5,ningekua na shamba la tikiti hata 2000 sikuuzii.
   
 5. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #5
  Apr 10, 2012
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,920
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280
  vi heka moja inaweza kutoa tikiti ngapi na vipi gharama za kilimo- sorry out of topic
   
 6. K

  Karim Boimanda Member

  #6
  Apr 10, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sorry wadau,moro ni maeneo gani yanafaa kwa kilimo cha matikiti maji,nataka nianze fasta nimuuzie jamaa kuanzia mwez wa 6
   
 7. Ramthods

  Ramthods JF-Expert Member

  #7
  Oct 9, 2012
  Joined: Jun 2, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Kaka, hiyo maximum umetoa wapi? Hakuna maximum output kwenye kilimo. Inategemea na upandaji na utaalamu wako katika kilimo.

  Katika ekari moja unaweza pata matunda 5000, hata na zaidi. Ni upandaji wako na ukubwa wa namna gani wa matunda unataka pamoja na jinsi unavyohudumia shamba ndio itategemea kiasi utakachopata.

  Hata ukitaka matunda 9000 unaweza pata. Ila kadiri mche unavyoelemewa na matunda mengi, na ukubwa pia hupungua.
   
 8. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #8
  Oct 10, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Mnunuzi wa matikiti maji nitafute mwakani.

  Inshallah
   
 9. G

  G Wa Mtalika New Member

  #9
  Oct 19, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  vp babu mwezi wa January' 2013 mwanzoni utakuwa bado ukiwa unanunua? Napenda kujua kwani yangu yako kwa chungu yanapikika mkuu.
   
 10. G

  G Wa Mtalika New Member

  #10
  Oct 19, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Deadline ya hii deal ni lini? niko ntakuwa tayari January 2013 mwanzoni.
   
Loading...