biashara ya airtickets | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

biashara ya airtickets

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by consigliori, Oct 5, 2012.

 1. consigliori

  consigliori JF-Expert Member

  #1
  Oct 5, 2012
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 390
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  wakuu anaijua biashara ya kuuza airtickets naomba anijuze yafuatayo:


  1. Namna ya kuanzisha
  2. Kama inalipa
  3. Mtaji unaohitajika

  Natanguza shukrani
   
 2. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Next time ukija uwe umeshafannya research kwani inaelekea hujajiandaa na hujui ufanye nini sikuvunji moyo ila nakuambia ukweli biashara yenyewe umesema ni AirTicket ndege zenyewe ziko wapi??

  Ushauri nenda pale stand ya mkoa tafuta sehemu weka ofisi wewe kazi yako itakuwa ni kuwa na contacts za mahoteli/ guest house sana sana na madereva taxi wewe anza kutafuta abiria sana sana wa mikoani wakija pale una organise na taxi taxi inamchukua mpaka hotelini kuanzia kwenye taxi mpaka hotelini anakuwa halipi kama akisema kuwa anakaa siku tatu anakuwa halipi pale hotelini kwa siku zote tatu na taksi hajalipia ila package yote amekuwa kakupa wewe hivyo basi then wewe unalipa hoteli, na taksi unabakiwa na commision yako

  Au hotel na taksi wanakuwa wanalipa fee mfano ili hoteli na taksi ziwe katika orodha yako ya ku recommend wateja waende kwao ni lazima walipe fee kiwango flani hii so mteja mnaongea nae kabla hata ya safari na mteja anakuambia kuwa anataka kukaa hoteli za sinza ww unaorganise zile hoteli/ guest nzuri unampa option unakuwa na picha na kila kitu hapo let's say ni moshi (una ofisi yako pale) then akifika dar mfanyakazi wako anaenda kumpokea (wadada warembo kavaa uniform) then anampeleka kwenye taxi mpaka hotelini anamkabidhi... Then anarudi ofisini hivyo hivyo unafungua branch nchi zima unaongea na wakubwa wa invest waweke pesa zao chafu pale (usishangae wakatunga na sheria kuwa ni lazima watu wanaokuja dar wajisajiri kwenye kampuni yako kwa kisingizio cha kukwepa ujambazi hii ndio tanzania kila kitu kinawezekana so long as unakula na mkubwa... Baada ya miaka mitano story zako utakuwa unapiga na kina Manji, zakaria.. Trust me akili za mbayu wayu changanya na zako
   
 3. hovyohovyo

  hovyohovyo JF-Expert Member

  #3
  Oct 6, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 540
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  We mkali.
   
 4. Mani H

  Mani H Senior Member

  #4
  Oct 8, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 180
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  umecopy na kupaste wamjini wanakuita kila.......
   
 5. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #5
  Oct 8, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Fresh tu niwe nipe copy niwe nime paste ila cha muhimu ni kumpa huyu jamaa mbinu mawazo ya biashara ndio point yangu swali jingine??
  Angalia wewe ndio usiwe wa mjini wanakuita bweg....
   
 6. Mani H

  Mani H Senior Member

  #6
  Oct 8, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 180
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  yup! Good, tusiende mbali sana kikawaida ukichukua idea ya mtu mwingine na kuiandika au kumpa mtu kama ulivyofanya hapo juu ni vizuri kueleza kama umeitoa kw mwingine, hii unampa mtu haki yake kw alichokifanya. thanks
   
Loading...