Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Wakuu heshima mbele!natafuta mtu mwenye Business Plan na Research ya hiyo business hapa Tanzania anisaidie nione kama nitaiweza na kama italipa!nawakilisha!
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Natafuta Ng'ombe wa maziwa prefarably anayefugiwa ndani ya Pwani (Dar, Kibaha, Bagamoyo) ambaye amezoea hali ya hewa hiyo. Mwenye mimba, na asiwe mzee. Mwenye tips anistue au abandike contacts...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuanzia mwezi sept 2012 mahindi yatakuwa yanapatikana arusha bei poa kuanzia gunia 5-1000 kama unahitaji tuwasiliane kwa no. 0719666830 ,0766852616
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndugu nimepokea taarifa ifuatayo nikaona bora niwawekee hapa: Ordersare invited from Tanzania, Kenya and/or Uganda Primary schools to buypublications whose cover pages are herewith attached...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mke wangu ni mwalimu wa shule ya msingi ambaye kwa muda mrefu amekuwa na wazo la kuanzisha biashara ya stationary hapa mjini Iringa. Chumba cha kufanyia hiyo biashara amepata nje ya geti la chuo...
0 Reactions
8 Replies
9K Views
Hii ni aibu kwa watoa huduma ya m-pesa,mfano umetumiwa hela na ndugu yako pengine hela ya ujenzi n.k,ukienda kwa wakala kuchukua anakuuliza unataka kiasi gani? anakuambia sina,unaenda tena pengine...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari wana Jamii Forum, Naomba msaada kama kuna wanaojua au wenye uzoefu wa kutengeneza chakula cha kuku, anifundishe na kwa kuwasaidia wengine formula ya kutengeneza au kuchanganya chakula cha...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
wadau hivi hii biashara ya kuleta magari kutoka japan au dubai inalipa? Process zake zikoje?
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Kwenye kijiji ninaoishi bei ya trei moja la mayai ni kati ya Tsh 6,000/= hadi 8000/= kutegemeana na msimu. Nimepata wazo nianzishe mradi wa kufuga kuku wa mayai (kuku wa kisasa). Mtaji wangu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Asali mbichi inapatikana. Usinunue iliyochakachuliwa. imefungwa kwenye containers za lita 1, 5, na 20. Kama unahitaji piga simu. 0713580690
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Wadau, Kuuliza si ujinga. "Angel Investors" ni watu wa aina gani na, je, hapa nchini Tanzania wapo?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
closed!
0 Reactions
61 Replies
9K Views
Hbr pple, Naulizia msimu wa kuvuna alizeti Singida ni kipindi gani na bei hua kiasi gani na kwa kipimo kipi tafadhali....Kwa mwana Jf anaeishi Singida plz anitafute kwa msaada zaid.
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Mimi ni mtaalam wa fani inayoitwa Communication Arts. Nimehitimu chuo kikuu nchini Marekani. Ni bingwa katika kila kazi ninayoifanya. Baada ya kufanya kazi hapa Dar miaka kadhaa, nimeona kwamba...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Kama una Fedha za Kigeni ambazo hazichenjiwi Bureau de Change nyingi ni Pm ama ni Check kwenye; 0767-074040 0714-074040
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nina wazo la kuanzisha NGO ya mazingira. Nataka ifanye kazi wilaya moja, baadae mkoa mzima. Vipi taratibu ni zipi? Unaandikishaje kwa serikali ili kupata kibali?
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau, mnaweza kunisaidia ni njia zipi naweza kutumia kupata LOCAL adertisers au sponsors kwenye blog au website ambayo nataka kuianzisha?
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Natafuta mwenye utaalamu wa kuandika documents za kufungua kampuni. Nina wazo la kufanya biashara ndogo tu kwa kuanzia ila baadae naamini itachanganya na kuwa kubwa so nahitaji niwe na kampuni...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu, naomba mwenye ufaham fasaha juu ya ubadilishaji wa fedha za kigeni na yetu, nasikiaga watu wanafanya bishara yakubadilisha fedha kila kukicha mjini, je ni nani ambaye anajua...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
heshima mbele wakuu.ninaomba kujua ni njia gan yakuaminika ninayoweza kuagiza eletronics(simu,laptop n.k)kutoka nje ya nchi(u.s,india na japani)..msaada tafadhali..
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…