Huu ni ukombozi kwa wajasiriamali, waajiriwa na wanaotaka kujiajiri!!!


Majigo

Majigo

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Messages
5,416
Points
1,250
Majigo

Majigo

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2012
5,416 1,250
Kwa Dunia Ya Sasa,kila Tasnia Inahitaji Elimu Ili Uweze Kwenda Katika Mstari Wa Mafanikio...Ni Nadra Sana Au Huwezi Kufanikiwa/Kuyataka Mafanikio Wakati Hujafanya Juhudi Za Kutafuta Elimu!

Sasa Kile Kitabu Kilichosubiriwa Kwa Hamu Kubwa Na WAJASIRIAMAL,WAFANYAKAZI na WASIO NA AJIRA Kote Nchini Na Nje Ya Na Afrika Mashariki Kwa Ujumla Sasa Kipo Mitaani Kukupa elimu hiyo.....!!!
Kitabu Hiki Kiitwacho SIRI YA UKOMBOZI,Kilichoandikwa Na Mwandishi Mahiri Anayekubalika, Ambaye Ni Mwandishi Wa Makala Ya Ya Ujasiriamali Ktk Gazeti La MWANANCHI.
Yeye Pia Amenufaika/Ananufaika Na Ujasiriamali/Kujiajiri Wakati Huohuo Ni MENEJA UHUSIANO-MICROFINANCE BENKI YA CRDB.

Kitabu Hiki, Sio Tu Kinakupa Njia Za Kufanikiwa!...bali Kinakupa Mbinu Za kuwa Na Ubunifu Wa Kisasa Kwa Ufanyaji Shughuri Za Kujiongezea Kipato Kuendana Na Ushindani Wa Soko Kitaifa Na Kimataifa

Kimejengwa Ktk Matawi yafuatayo:
1. NAMNA YA KUJIAJIRI WAKATI UMEAJIRIWA

2. JE UNA BIASHARA NA UNATAKA KUWA NA NYINGINE?

3. UNATAMANI KUWA NA BIASHARA ILA HUJUI PA KUANZIA(WAZO LA BIASHARA)?

4. KUJUA MBINU HALISI ZA KUANDAA UTAFITI KWA WANAFUNZI WA SHAHADA YA UZAMILI(MASTER THESIS)

5. JE UNA BIASHARA LAKIN HAIFANYI VIZURI NA HUJUI UFANYEJE?

6. NAMNA YA KUWA NA MTAJI WA KUANZISHA BIASHARA BILA VIKWAZO

Unaweza Ukajiajiri Au Kuajiriwa Vilevile Unaajiriwa Wakati Umejiajiri, Na Mambo Yanakwenda Sawa Ili Mradi Tu..Unajiongezea Pato Lako Na Kujiondoa Katika Orodha Ya masikini.

Kinapatikana Kwa 7000/-TZS (rejareja) pia Tunauza Kwa Jumla...Kipate Kwa Kupiga Namba
0753254562
0718295182
0689258253
Au Email emfodot@gmail.com
Niko DAR ES SALAAM
Nakuhakikisha Kutojutia Endapo Utanunua Nakala Hii!
AHSANTENI NA KARIBUNI SANA!
 

Forum statistics

Threads 1,296,592
Members 498,672
Posts 31,253,201
Top