Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Habari wanajamvi,mimi nipo mkoani mwanza ninahitaji kuuza cement za dangote maana nimeona kwenye mitandao ya kijamii inabei nzuri sasa nitawezaje kuzipata so mwenye link yeyete ile naomba...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Mimi ninautalaamu wa kutengeneza mishumaa ila sijui maeneo ambayo wanauza material ya utengenezaji wa mishumaa kama kuna mtu anafahamu tafadhali nifahamishe nami
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ndugu mjasiriamali na mfugaji leta mayai yako yenye ubora tukusaidie kutotoa ujipatie vifaranga vyako. tupo tabata segerea dar es salaan. bei zetu ni nafuu sana 0713219408
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kufuatia bandiko hilo hapo chini,incubator kama hizi zinapatikana wapi?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Great thinkers wa Jf naombeni expirience na ushauri juu ya ukumbi mwenye uwezo wa kuchukua watu 300 tu, na jinsi utakavyoingiza pesa km kitega uchumi.... TUSHAURIANE
0 Reactions
6 Replies
1K Views
TrueCafe is a distributed system. It consists of server and client software. Server software is a center of cyber cafe maintenance. It provides pricing, customer...
0 Reactions
0 Replies
853 Views
wadau natamani kuanzisha car wash ila sijui vifaa vinavyotakiwa, gharama zake na inalipaje
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari wanaJf, naomba msaada wa sehemu ambayo naweza kuanzisha duka kubwa sana la hardware za UJENZI Dar es salaam, nitakuwa nauza kwa rejareja pamoja na kwa jumla na kwa Order pia. Natumai kwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
wana jf, hv kama m2 ana lak moja mkonon mngependa kumshaur afanye kp cha fasta fasta il baada ya muda hv aje awe na mtaj km wa 1million?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hi Everyone, My name is Mohammed, and I'm a 22 year old who is currently working a full time job as a IT Sales Support Engineer. I have a satisfactory job and good salary. And I always believed...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu heshima kwenu, ninauza mashine 2 za kuoshea magari zilizofanya kazi miezi 8, zinatumia petrol, bei ni laki 8 kwa zote mbili. Nipo Mtwara mjini ni pm tufanye biashara.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa gharama ndogo utajifunz hatua kwa hatua mpaka uelewe.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tutembelee ????? Kuona dawa zetu zaidi.
0 Reactions
0 Replies
860 Views
Leo nataka kuongelea tatizo hili la nguvu za kiume mana saiv limekua tatzo kubwa sana na sio tatzo la kuchekana mana kwamfumo wetu wa vyakula tuliokua nao ni lazma weng wetu linaweza likakukuta...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za jioni wadau natumaini mpo fine jaman naitaji kin'gamuzi cha azam TV kilichotumika wadau mwenye nacho naomba tuwasiliane kwa namba 255756417990
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari msomaji wa uzi huu, naamini u bukheri wa afya njema. Vijana wengi tumekuwa tukiwa na wazo zuri la biashara lakini swala kubwa au kikwazo ni mtaji, mwisho wake tunapoteza mwelekeo na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habarini wadau. Ninaomba msaada wa mawazo kama nilivyojieleza hapo juu. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kiwanja Somangila baada ya Avic Town kuna kituo Mwembe mdogo njia ya Dsm Zoo. Sqm 488 bei m6. Hakuna Dalali. Piga 0717059472.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Najua tumekuwa na mijadala mingi ya Uchaguzi sasa nafikiri kubadili muelekeo kidogo... Naomba mtu mwenye uzoefu wa uendeshaji wa magari madogo kama kiriku na Hiace (daladala) anipatie uzoefu wake...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Goodevening ladies & gentlemen! Disclaimer: I admit that this thread is of ultimate importance and genuine to my best knowledge. Despite long-term efforts of starting an advertising agency...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom