Natafuta wateja wa Mbuzi

supermama

Member
Jul 11, 2015
29
2
Soko la mbuzi wa rejareja..

WanaJF,

MimI huwa nafuata Mbuzi Handeni. Nilianza na wachache sana, sasa Mungu kanijalia naweza nikaleta hadi 10 au 8.

Sasa natafuta wateja wa rejareja!
 
weka PICHA ili nijiridhishe na AFYA zao kwanza wasije wakawa kama wale wa VIN....UTI
 
Back
Top Bottom