Chotti de Alba
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 348
- 106
Habari za mida wakuu,
Kuna kitu naomba kujuzwa kuhusu biashara ya tigopesa na mpesa, mtu anaefanya biashara hii huwa anapata faida gani and on the other side kuna hasara gani? in a simple phrase mtu anaetaka kuanzisha hii biashara anahitaji nini, natanguliza shukrani na hata kwa wenye mitazamo mingine ya kibiashara kwa faida ya wengi