Tafuta eneo lililochangamka,likiwa karibu na hospitali ni vizuri zaidi,fungua pharmacy
Tafuta humu kuna uzi unaelezea hatua za kuanzisha pharmacy,,mimi nitakusaidia kupata a licensed pharmacist utumie cheti chake kwa maelewano mtakayowekeana
Karibu
ufisadi huo.utatumiaje cheti cha mtu bila mwenyewe kuwepo.nyie ndio mnaoua watu,mnatumia vyeti vya wasomi kupata leseni halafu mnaweka darasa la saba dukani.acheni mchezo na maisha ya watu
kaangalie makampuni ya clearing and forwarding mchezo wanao ufanya!
So kisa wao wanafanya na wewe ukafanye?
wadau nina milioni 25, nataka ushauri wa biashara ya kufanya, regardss...
wadau nina milioni 25, nataka ushauri wa biashara ya kufanya, regardss...