shaurimbaya
JF-Expert Member
- Oct 3, 2013
- 1,915
- 2,339
habari wadau..
hivi hizi biashara vp? kwa maoni yangu ni kama inamnufaisha manufacture wa hizo bidhaa kumuuzia kinguvu bila sisi kujua..
maaana kuna watu wananishawishi kweli ila kila nikiangalia mafanikio yao siyaoni na wapo miaka na miaka kwenye network marketing