Cardinal06
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 963
- 327
Nataka kuanzisha shirika litakalohusika na masuala ya mazingira. Mm ni mhitimu wa chuo kikuu shahada ya awali kutoka chuo cha hapa hapa nyumbani Tanzania. Naomba ushauri juu ya masuala ya msingi nayotakiwa kuzingatia katika uanzishaji na uendeshaji, changamoto zake na masuala mengine yatakayokuwa na manufaa kwangu.
.
Nitashukuru kwa ushirikiano wenu wadau.
.
Nitashukuru kwa ushirikiano wenu wadau.