Habari zenu wadau,
Mie niko Mtwara, natafuta ng'ombe wa kisasa wa maziwa,. Nahitaji ng'ombe wawili kwa kuanzia. Kwakua mie ni mjasiliamari ninaejifunza kamtaji kwangu ni 1,600,000 kwa hao ng'ombe...
Ushuru mkubwa Wa bandari na Kofi kubwa ni tatizo kubwa la kitaifa hasa kwa wafanya biashara wadogo wajuzi wanao tamani kuuza bidhaa zao nje ya nchi ama kuleta ndani ya nchi Kodi nitatizo kubwa...
Habari zenu wapendwa naamin muwazima wa afya ,, kitu kilichoninya niombe ushauri ni kwamba ninampango wa kuchukua mkopo wa 500,000 sasa hebu nishaurini wadau naweza kuufanyia nn na kuzalisha...
Kwa Hesabu Ya Harakaharaka Sisi Kijiji Chetu Tupo Watu Wazima Wenye Akili Timamu Wasiozidi 8elfu Tu Sasa Ukigawanya Milion 50/8 Utapata Jibu Kuwa Tayari Sisi Serekali Itakuwa Ishatupa Mtaji Hebu...
Habari? Naomba wenye uzoefu wa hizi mashine waniambie bei zake ni kiasi gani uimara wake na kudumu kwake...je zina ufanisi mzuri kwa kutotoa vifaranga vya kuku wa kienyeji?
Wakuu naomba msaada nataka kujua faida na hasara za biashara hii .. nataka niwekeze kwenye kiwanda cha kutengeneza haya mafuta ya alizeti .. naona walaji ni wengi sana sasa ..Natanguliza shukrani
Habari zenu wana jamvi, naomba mwenye uelewa au anaefanya hii biashara ya tigo pesa na m-pesa anipe mwongozo kidogo. Kuhusiana na Commission inakuwa kiasi gani, mtaji kwa kuanzia tigo pesa ni...
Wanapatikana kwa jumla na rejareja. Wenye matumizi ya nyumbani , kuuza gengeni, sokoni na supermarket. Bei ni nafuu na ziko kwenye attractive packages. Karibuni wakuu
Wanajf nimefungua stationary ambayo ninauza vitab mbalimbali hasa vya high school km s chand, nelcon,BS etc ila nahitaj photocopy machine, sjajua ni aina gani ndo nzur na ni kwa bei gani
Kwa wana Jf anayefahamu kama naweza kupata chanjo ya ugonjwa wa marek unaosumbua vifaranga vyangu,hili lilinitokea mwaka jana nilipoatamisha kuku zangu 12 wakanipatia vifaranga 112 baada ya wiki 2...
Habari wana Jamii Forum, hongereni kwa hatua ya uchaguzi. Naomba msaada jwa yeyote mwenye ujuzi wa kilimo cha miti.
Mimi ni graduate wa jinsia na maendeleo bado cjapata ajira had sasa...
Heshima mbele wanajamvi.
Nina mtaji wa shilingi milioni 10 za kitanzania, nipo Dodoma mjini nafikiria kufungua duka la kuuza marumaru (tiles) na gypsum board. Naombeni ushauri wenu kwa mlio na...
Mambo vipi hapo!?
Ok mimi nina mpango baada ya uchaguzi nielekee Dar kuhamishia kazi yangu ya ufundi mabomba ya maji. Sasa mimi napenda sana kuwa busy busy kwa hiyo baada ya kufikiria sana...
Kwa Miaka ya Hivi Karibuni Kumekuwa na Ongezeko Kubwa la Blogs na Website Katika nchi zinazoendelea, Tanzania Ikiwa miongoni mwao. Kundi kubwa la vijana waliosomea masuala ya computer na programs...
Wadau ni muda sasa umepita tangu nianze kuomba ushauri juu ya wazo langu la biashara ya viatu na mikoba ya kike hapa songea bila kupata michango ya wadau.
Hadi leo hii maendeleo juu ya...
RIFARO AFRICA ni kampuni mama toka tanzania yenye lengo la kumsaidia mmiliki wa simu ya mkononi kuweza kunufaika na muda wa hewani anaoutumia kwa kumuingizia KIPATO
Kampuni ilipata wazo toka 2011...
Hello, Nipo Mbeya mjini,
Nahitaji nisaidiwe wazo la namna ya kuitumia Noah yangu kibiashara. Bado nzima sana.
Mawazo yangu niwe naenda route ya Mby-dar-mby safari za jioni...tatizo upatikanaji wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.