Gharama za kuezeka nyumba jijini DSM

Gharama za kuezeka nyumba jijini DSM

Super H

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2012
Posts
1,070
Reaction score
405
wakuu salaam sana
nina nyumba maeneo ya kibamba natarajie baada ya uchaguzi niiezeke .nahitaji
mbao 4x2 na 2x2 hapa naomba mnifahamishe bei na tofauti ya trited na zile za kupaka dudu killer

nahitaji mabati ya kisasa bei tofauti niweze kuchagua kulingana na uwezo wangu .

nb kwa sasa nipo mwanza nikimaliza kupigia kura ukawa tu nitasafiri kwenda dar .
nawasihi ndugu zangu wa dar mnisaidie ushauri na bei

pls mod msiunganishe huu uzi na mwingine maana natumia simu
 
Back
Top Bottom