WADAU HABARI,
Nina wazo la kibiashara la kutoa huduma fulani kupitia makampuni ya simu nahitaji mbia/business partner mwenye ujuzi wa maswala ya mobile money/ telecommunication business. Nina...
Ndg wanajamvi nahitaji kuanzisha biashara ya uuzaji wa vocha za simu kwa bei ya jumla,
Je inahitaji pesa kiasi gani ya mataji kuanzisha hiyo biashara?
Naombeni mnijuze ndg Zangu.
ndugu watanzania, mimi Nina wazo la kuendeshwa kiwanda cha kuboresha mazao ya nyuki kwa kuzalisha asali na nta au wax.
hivyo kama upo interested unakaribishwa kwa masharti yafuatayo
kwanza...
Rejea habari hapo juu .Samaki aina ya kambale wanauzwa ,wapo Mbezi mpiji magoe . Uzito (500gram-1.5kg), kilo Kilomoja ni TSH 6000.00,wasiliana kwa 0755305766
Hahaha!!! naona jinsi unavoshangaa na unataka kuniandalia bonge la tusi. Yaani hapo unajiuliza bia moja ya Tzs 2,500 inawezaje kubadili maisha ya mtu?
Penginepo wewe ni mlevi kama mimi katika...
Kwa lugha nyepesi ni kwamba ukiajiriwa maana yake umeshindwa kujitegemea kwa ujuzi wako (yaani hujui ufanyie nini) hivyo umeona uukabidhi ujuzi wako kwa wenye "akili na uwezo" wa kuupangia...
Naombeni msaada wapi naweza pata chupa zinnazo weza kuingia kimiminika za 70ML &100ML nipo dar es salaam...
msaada wenu niweze kamilisha order ya kusambaza mafuta ya kupaka
Wadau natanguliza salam zangu kwenu...napenda kusaidiwa jinsi yakupata mzigo wa rim papers za A4 ambazo nitaweza kuziuza kwa jumla...kwa kuzisambaza katika mastationaries APA mjini...nipo...
Habari ndugu zangu nilikua naomba msaada wa kujua bei za mashine za kufyatulia matofali. Ya aina zote ya kuchoma na kawaida ikiwezekana na mahali zinapopatikana. Asante
habari za majukumu wanajukwaaa.
kama tittle inavyojieleza
naomba ushauri juu ya mashine nzuri ya kutengenezea popcorn na bei zake,pia sehem nnayoweza kuzipata mashine za uhakika,na...