StevenFM Member Aug 2, 2015 14 2 Dec 22, 2015 #1 Jamani kila ninapofikiria nianzishe mradi, juhudi zinakwama hasa katika kubuni huo mradi. Big up sana kwa walioweza huu mtihani. Naombeni na mimi mnipe techniquesm
Jamani kila ninapofikiria nianzishe mradi, juhudi zinakwama hasa katika kubuni huo mradi. Big up sana kwa walioweza huu mtihani. Naombeni na mimi mnipe techniquesm
jay-millions JF-Expert Member Apr 30, 2015 3,695 8,984 Dec 22, 2015 #2 Jilipue tu kama hela ya mtaji hujakopa