Mkopo 400,000/= unahitajika

Mkopo 400,000/= unahitajika

Electronics Capital

New Member
Joined
Oct 7, 2015
Posts
1
Reaction score
0
Habari!!!
Mimi ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) mwaka wa kwanza. Niko katika hatua za usajili lakini nimepungukiwa laki 4 kukamilisha usajili. Mkopo kutoka bodi (HESLB) nimepata, ila kuingiziwa ni mpaka kukamilisha usajili (Itachukua kama wiki 3 toka kukamilisha usajili).
Nahitaji Mkopo wa haraka, ili nikamilishe usajili, nitalipa deni kutokana na hela ya mkopo nitakayoingiziwa. Niko tayari tuandikishane.
Unaweza kunipigia 0657942420
 
Mimi natoa mikopo midogo kwa wanafunzi wa vyuo na graduates sifa uwe mtanzania dhamana cheti original riba ni 10% kwa mwezi. Ila masharti ni kwamba mwisho wa mwezi lazima tunalatify contracts...! Piga 0719666099
 
Mkuu KATASAN'KAZA unapatikana wapi?
 
Back
Top Bottom